VIDEO:- Mfanya mazingaombwe aitwaye Kisado, awageuza watoto wa shule ya msingi huko Tabora kuwa kama mazezeta

Kweli Mkuu, Majuzi kati nilipita soko fulani kuna wadau wanachezesha kamari, wana card tatu moja inakuwa na picha zingine mbili zinakuwa empty

Kuna dogo alijichanganya kucheza huo mchezo alipigwa hela yote ya biashara.
Bila shaka alijifunza, na ule wala sio uchawi ni kucheza na akili yako tu na unajaa.

Ukiingia youtube angalia "magic tricks reveals" zitakuja tricks kibao wanazotumia wanamazingaombwe ambazo ni kucheza na akili yako na speed yake ya kuchezesha mchezo.

Na vifaa vya hizo tricks vipo kabisa madukani.
 
Kwahiyo kutafuna wembe ni kucheza na akili ya mtu? Kugeuza karatasi kuwa biscuit je?

Mi siongelei mazingaombwe ya YOUTUBE sawa, Kwani shuleni kwenu haukuwahi kushuhudia Mwana-mazingaombwe, Au we ni mtoto wa kishua nini!!!??
 
😂😂😂 kwa akili yako ile ya kitoto hata trick ndogo ilikua kazi kugundua utaishia kusema ni uchawi ila wengi hawakua wachawi.

Kuna mwamba alikuja na kibuyu kisichoanguka, kumbe ndani ya kibuyu katia cement upande mmoja hivyo hakiwezi kusimama kitaanguka tu, mwingine ndio wale wa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na enzi hizo kweli unaamini kumbe wapi ni tricks tu.
Kutafuna nyembe, kumeza jambia, kugeuza karatasi kua pesa, pipi au biscuits hizo zote ni magic tricks ambazo anajifunza kwa muda kabla ya kuja kuwahadaa.

Mzee uchawi haufanywi hadharani, uchawi una codes zake.
 
Imagine mwanao kaenda shule anarudi zezeta!!
Aiseee huyo kisado sijui kigoda atamtibia huko huko Polisi !!!
 
😂😂😂 kwa akili yako ile ya kitoto hata trick ndogo ilikua kazi kugundua utaishia kusema ni uchawi ila wengi hawakua wachawi.

Kuna mwamba alikuja na kibuyu kisichoanguka, kumbe ndani ya kibuyu katia cement upande mmoja hivyo hakiwezi kusimama kitaanguka tu, mwingine ndio wale wa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na enzi hizo kweli unaamini kumbe wapi ni tricks tu.
Kutafuna nyembe, kumeza jambia, kugeuza karatasi kua pesa, pipi au biscuits hizo zote ni magic tricks ambazo anajifunza kwa muda kabla ya kuja kuwahadaa.

Mzee uchawi haufanywi hadharani, uchawi una codes zake.
Kama ni tricks tu na sio uchawi nawe jaribu kufanya kama utaweza.

Kuna Mazingaombwe ya kucheza na akili za watu, Ila mengine ndo uchawi wenyewe wa kupumbaza akili.
 
Zipo tricks ni rahisi na nyingine ni ngumu zinahitaji nyenzo nyingi kukamilisha, na nyingine ni risky unaweza umia/kuumiza watu kama huna mazoezi nazo.

Kijana uchawi una mifumo yake, haufanyiki hadharani ambapo kila mtu ana energy yake ambayo huyo mchawi hajajua uwezo wao, akifanya uchawi hadharani namna hiyo ni rahisi kuumbuliwa au kuumbuka kwa wachawi wenzie au watu wa dini.

Unaujua uchawi kwanza kijana??
 
Kuna upumbavu tu
Mm ningekuw. Nina mamlaaaaaka ningepigggaa maruffuku shule kutembelewa na. Wapuuz. Wwte sijui diamond sijui. Zchu sijui wauza bidhaa za promotion hao waaganga na. Manaabii fffffeki ssijui waendeshaji. Vipind kwe. Tv vya kijinga ili kuwaepusha wanaffnz na volunariibilty sory uandish. Mbaya nipo kwenye. Usafr
 
Uandishi mbovu ni hulka ya MTU, tusiusingizie usafiri
 
Back
Top Bottom