Wewe mbulula wazungu gani uliowahi kuwaona zaidi ya wale wa makanisani kwenu wanaobaka watoto wadogo , unawajua wazungu gani unaowaongelea nchi zao kwa niaba yao,Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Mkuu nafikiri ungetoa tu maoni yako bila chuki ingependeza. Shida ni nini ndugu yangu?Wewe mbulula wazungu gani uliowahi kuwaona zaidi ya wale wa makanisani kwenu wanaobaka watoto wadogo , unawajua wazungu gani unaowaongelea nchi zao kwa niaba yao,
Wewe umefika huko ulaya kwao ukaona ni makanisa mangapi yamegeuzwa misikiti, leo hii ndio wanakurupuka na kuandamana wakati vitongoji kibao vimeliwa kichwa.
Islamophobes with little or selective reasoning as always
Muislam hawezi kuchoma msikiti, hao ni zionists wenye mpango wa kumrudisha kibaraka wao Shah kama walivyomueweka baba yake 1953 baada ya kuupindua utawala wa watu wengi wa Rais Mosadegh
Mnaotabiria Uislam kufutika mtafutika nyie duniani bila athari au legacy yoyote wakati uislam unaendelea kukua kutoka kila pembe ya dunia
Unaemsema mwafrika kufuata dini isiyomuhusu (eti ya mwarabu) wakati wewe unaabudu salam la mzungu!
Robo ya binadamu wote kwa sasa ni waislam, yaani kwa kila watu 4, 1 ni muislam, wa 3 wanaobaki ndio wakiristo, budhist, pagan, animist, atheist na wengineo
Empires come and go, Roman, Byzantine, Ottoman, Mughal, Tang, UK, zote zilitawala dunia lakini Uislam umeendelea kuwepo
Ukomunist ulikuwa na nguvu zaidi ya Ukatoliki na Uislam na hakuna aliyetabiri kufa kwa USSR lakini kwa yanayaondelea hata USA inaweza kuanguka pia kama wao wanavyochochra kuangusha nchi za wenzao
sahihi kabisa mkuu.Hata yeye asingetoboa, watu wa rangi nyingine wanaroho tofauti sana. Wao kufa kwenye jambo la kupigania haki kwao ndo jambo la juu kuliko vyote na wanaweza kulitafuta wafe hivyo.
Kwetu ni makondoo tu, Mwanamama hadi leo anajisifia kuwafyeka Oct 29 na kasema sahz Vijana hawana hamu ya kuingia barabarani kwa alivyowafyeka na walioona matukio live,picha na video hawana ham tena. Hapo watu wanasema wanamuachia Mungu wao adeal nae. Watu wa nchi hii ni tofauti na nchi nyingine ndo maana akisema walilipwa watu wanakubali maan baada ya ile siku hamna mtu katia mguu tena badala yake ni taharuki tu za maandamano ambayo kiukweli sidhani kama yatafanyika tena kwa roho nyepesi za watu wa nchi hii. Tutabaki kulilia miili ya wapendwa wetu tu.!
BRO HAPO UMEVUKA MIPAKA, HESHIMU IMANI YA MTU MKUUMkuu nipe elimu kidogo kuna tofauti ipi Kati ya huyo na yule anayesafiri maelfu ya kilomita kwenda kuzunguka na kushika kijumba cheusi kwenye mji ambao ameambiwa ni mtakatifu?
Kuna utaratibu mpya umeingia huu mimi hua unanichanganya sana.. ipo hivi hua nawaona watu hususa wanaume wakivaa mfano baraghashea kichwani na shingoni anavaa rozari sio tasbihi ni rozari km rozari yenye msalaba na yesu katundikwa msalabani au mwengine anavaa kanzu baraghashia na rozari shingoni rozari ya msalaba sio tasbihi ile yenye utambi utambi ni rozari km rozari.. nikawa najiuliza kuna mtu ananiambia ukiona huyo wa hivyo jua ni wa pande mbili yaan baba muislam na mama mkristu au mama mkristu na baba mwislamu kwa hio yeye kaamua kusimama kotekote sio mkristu wala sio mwislamu ndio anavaa baraghashia na rozari shingoni.. nikabakia mdomo wazi kabisa inawezekanaje?Walitaka kunitoa roho eti kisa nimevaa kanzu na kikofia cha duara ilikuwa mfungo wa Ramadan,sasa nikawa nakula kumbe eti ni kosa nautukanisha uislamu.
ndio maana nasema islamophobes wa jf hamna reasoning au selective reasoning kama mnayo hata kidogoKobaz wa kwanza amejitokeza, hehehe Muarabu mwenyewe ameichoka hiyo dini yenye ushetani mwingi kumzindi shetani mwenyewe
Waislamu wengi huwa ni wajinga sana na hawako civilized jitu linaua watu elfu 23 plus linajisifu linatofauti gani na gaidi??La zege hutaki,hili la kauri je?
Waislamu wengi ni wajinga wajinga na hawako civilizedndio maana nasema islamophobes wa jf hamna reasoning au selective reasoning kama mnayo hata kidogo
Kuna sehemu mnalalamika waislam "wanaiharibu Ulaya" Islamization of Europe, kwengine mnajisfu Uislam unakufa, which is which?
Uislam siyo uarabu, hao waarabu walioishi na Muhammad ndio walikuwa wa kwana kuuping na wakataka kumuua yeye na familia yake mpaka alipopewa amri ya Allah kutoka Makkah kwenda Madina, na hapo walikuwa hata 100 hawafiki, sembuse leo kuna 2.5 billion followers!
Allah aliahidi dini yake itasimama(Surat Nasr 110, 1-3)
Kuna watu kina Pope Constantine na wengineo wenye majeshi na maguvu yote duniani walileta Crusade kuufuta leo wapo 6ft under the earth, Tupac anasema relocated to the cemeteries!
Wewe keyboard warrior, mkimbizi wa kijaluo utaweza kufanya nini zaidi ya kashfa, eti kobaz!
Moses alipoambiwa avue viatu aongee na mola wake alikuwa amevaa buti? Brian Deacon alivaa sneakers au mocassin!
Mtafutika wote na vizazi vyenu hata mchome msikiti na misahafu ya Quran yote iliyopo duniani, Uislam upo vifuani mwa watu, kitabu hicho hicho ukikusanya tena watu 10 kinaandikwa kama kilivyo, bila version yoyote kama waraka wenu ulivyo
Waislamu ni wajinga sanaKwahiyo Muslims wabongo wanataka waishi Islamic State:
Kama Afghanistan na Iran wakati waarabu wameshachoka maisha ya kulazimishana waswali vipi, wale nini na nini wasile, wavae mavazi gani na kwa aina gani kama walivyoishi Wakureshi wa zamani:
Eti uso ni Uchi 🤣🤣🤣
Hayo maisha yamepitwa na wakati:
Mwishoe utafungua ID nyingine ili uje uwashambulie wanaosapoti kinachotokea Iran maana ID unayotumia inakubana kutema Nyongo.Kumbe ni maandamano ya kidini? Kwamba wakimpindua Ayatollah basi nchi iwe ya kikatoliki? Haaahaaaa
Maislamu...Hiii!.Wewe mbulula wazungu gani uliowahi kuwaona zaidi ya wale wa makanisani kwenu wanaobaka watoto wadogo , unawajua wazungu gani unaowaongelea nchi zao kwa niaba yao,
Wewe umefika huko ulaya kwao ukaona ni makanisa mangapi yamegeuzwa misikiti, leo hii ndio wanakurupuka na kuandamana wakati vitongoji kibao vimeliwa kichwa.
Ilikuwa wapi hii?Binafsi nauchukia sana uislamu,yaani hawa watu wangezingatia elimu dunia wangekuwa mbali sana.
Walitaka kunitoa roho eti kisa nimevaa kanzu na kikofia cha duara ilikuwa mfungo wa Ramadan,sasa nikawa nakula kumbe eti ni kosa nautukanisha uislamu.
Dini ya kijinga sana hii,ni Bora uwe mpagani mara 1000 kuliko kuwa muislamu
Lindi mkuuIlikuwa wapi hii?