THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
NA KWELI MNAKUFURUMswalie Mtume wewe MK254
Utaambiwa unakufuru
Mohamed salmin anaona uchumi wa utalii wa kupitia dini unalichelewesha Taifa kukukua Kwa kasi , so ndio maana anafanya jitihada zote kuifanya Saudi Arabia kuwa Taifa ambalo sio la kidini tena Kwa kuwapeleka mastar mbali mbali kwaajili ya kuwa influence watu wabadilishe tamaduniSAUD ARABIA STILL LOADING, NAPATA MASHAKA HAWA WAKINA JENIFER LOPEZ KWENDA KUPIGA SHOW KULE NA WATU WANABANG HASWA, ITAFIKIA HATUA WATAONA KHHAAAA DINI NI MZIGO, SAUD ARABIA ILITAKIWA IBAKI HIVO HIVO HATA MAMPIRA TU HAYAKUPASWA PALE
Plan yenyewe ni ipi wakati wanazidi kukaa?Unashangaa wanaingia nchi ya Kikristo na wanakua mpaka wabunge, kumbe plan kubwa sana
Dini zote ni changamoto, Dini ni scummer,Wakristo hata kukuzika hawakuziki ukibadili dini
Hakuna dini inachuki za wazi wazi kama ukristo...najua hata moyoni.mwako unakiri kuwa una.chuki na uislam.na waislam.bila.hata sababu ya msingi...
Dini ziko nyingi dunianiDini zote ni changamoto, Dini ni scummer,
Dini ni sera tu ya mfumo wa siasa za kale kwaajili ya kulinda utamaduni wa Race za watu wa mataifa Fulani Kisha zikapakwa rangi na tukaambiwa kuwa ni dini za mungu wakati sio kweli ,
Hivyo vitu ulivyo tajwa hapo kuwa vinapigwa vita , haihitaji uwe na dini ili kuweza kutambua kwamba havifai , hata hivyo ni kwamba huo uislam pia unaonekana pia umelegea na hauna mashiko , Qatar kombe la Dunia watu walikuwa wanapiga gambe kama kawaida , mwarabu mwenyewe ameshaichoka dini mpaka wanaandaa mashindano ya world cup ambayo ndani yake Yana laana kibao wewe ambaye umeletewa hiyo dini Huku bara la Giza still unakaza fuvuDini ziko nyingi duniani
Siyo uislam na ukristo pekee ziko.dini nyingi.
Dini pekee duniani inayopinga wazi wazi vitu kama zinaa,kamari,riba,ulevi,ushirikina,rushwa,dhulma,na kadhalika ni uislam
Na ndiyo maana unaona lazima ipigwe vita kuhakikisha haisimami sshemu yoyote duniani
Ukristo sio Dini ndugu yangu katika imani:WENZETU DINI YENU NI NZURI NA INAENDA NA WAKATI
NA NDIYO MAANA HUWEZI KUSHANGAA SASA HATA VIFUNGU MNABADILISHA NA KUFUNGISHA NDOA ZA JINSIA MOJA
NA HUWEZI SHANGAA KUONA MNAVAA VIMINI NA NUSU UCHI KISHA MNAENDA KWENYE IBADA
HUWEZI SHANGAA UNAINGIA CHURCH NA MCHEPUKO WAKO PAMOJA SIYO SHIDA ZENU,YAANI USIKU MMETOKA KUZINI ASBH MNAAMKA ZENU HAAOOO KWENDA KUTUBU NA MKIWA NA HANH OVER ZA ULEVI SIYO SHIDA ZENU
KWETU SISI DINI NI KIFUNGO KWELI...KWETU HUTAKIWI KULA RUSHWA,RIBA,KAMARI,ULEVI,ZINAA,WIZI,USHIRIKINA,KUUA NA KADHALIKA...WEWE KAFIRI UTAWEZA WAPI MAISHA KAMA HAYA.
NYINYI MNA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂👗👠Uislamu ni laana
Nyie mnawaza Wakatoriki tu:NA KWELI MNAKUFURU
WEWE MNAFIKIA HATUA MNASEMA BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU TUNAOMBA UTUOMBEE...YANI MUNGU AWE NA MAMA TENA??
THEN MNAACHA KUMUOMBA MUNGU DIRECT MNAKULA KONA MNAENDA KWA MAMA YAKE AWAOMBEE KWA MTOTO WAKE..MNAJUA NYINYI NI HAMNAZO SANA??MNAJUA HILO
So Wana lambishwa asali kwanza !!! 😁😁😁
Mwamba umeona mbali sana:Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Kwa mantiki ipi;"Ukikataa ukristo maana yake unataka uislam?".Comment niliyo quote inasema
"hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru"
Sasa ndio nauliza kwani maandamano ni kupinga uislam?
Meaning kama hawataki uislam does it mean wanataka dini nyingine which is Catholic as the biggest non-muslim denomination
Sasa Ukristo kama sio dini ni nini ?Ukristo sio Dini ndugu yangu katika imani:
Dini ni Uislamu, ndio maana mmeambiwa mtu akihama katika mila za Kiislamu lazima Auliwe:
upendi U-dini wakati kila anae furahia kinachotoke Iran unamnasibisha na Udini..usikute we ni yule sheikh alitishia kukata watu vichwa kwasababu wanampinga Samia ambaye ni muislam.Inanibana nini by the way? I'm not a coward and I've never been. Mimi ni mkristo lakini sipendi kila kitu kuwekwa kwenye angle ya udini. Kuna tatizo humu la watu wakiwa Pro USA/Israel basi automatically wanaonekana wakristo na sie tulio Pro Iran/Palestine basi tunaonekana waislam.
Hayo maneno yenyewe ya Yesu hayapo, mnayasikia vipi ? Si muwe na akili hata kidogo Wakristo ?Ukristo sio Dini:
Ni kuyasikia Maneno ya Yesu Kristo na kuyatekeleza kama alivyo agiza:
Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari."
amuona akiwa Yeriko,galilaya,yerusalim na kwenye Rango na Nainih.Hayo maneno yenyewe ya Yesu hayapo, mnayasikia vipi ? Si muwe na akili hata kidogo Wakristo ?
Huyu anaye mnukuu Yesu alimuona wapi ?
Weka ushahidi hapa, hatupigi story za vijiweni.amuona akiwa Yeriko,galilaya,yerusalim na kwenye Rango na Nainih.
uliye na shaka kuwa Matayo sio Author wa Injeel unayoijadili ndiyo uweke ushahidi,sio mimi,mimi sina shaka..mwenye shaka ndiyo weka ushahidi/shaka yako tuipime.Weka ushahidi hapa, hatupigi story za vijiweni.
Nani aliandika Injili ya Matayo ?
Nani nimemnasibisha na dini? Nionyeshe popote pale?upendi U-dini wakati kila anae furahia kinachotoke Iran unamnasibisha na Udini..usikute we ni yule sheikh alitishia kukata watu vichwa kwasababu wanampinga Samia ambaye ni muislam.