babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.Kwa nini mkuu? Funguka!
Ni mambo ya kawaida ndio ila haikutakiwa kuwa kwa kwa mlinzi wa rank hiyo mkuu...Sijui unanielewa?Ni mambo ya kawaida kwa binadamu, majukumu yake ya kusimama mda mrefu, huenda kuna wakati pressure inashuka ghafla hivyo kusababisha ubongo kukosa oxygen ya kutosha.
Anaweza kupata hali hiyo mtu yoyote. Pole yake.
Kwani mtu mwenye vigezo hawezi pata changamoto ta kiafya?Hii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.
Weledi ni kuficha uhalisia?Jamaa wa camera ana weledi sana ..kwa kutochukua tukio lote na focus kwa audiance
Kwenye No reform No election hukutani na huyo utakutana na wendawazim ambao hawajali kukutoa uhai na waseme walipiga risasi juu kukuonya ila ukakaidi kwahiyo jipange piaDaah dada kamanda kachoka. Pole sana
Sasa ikifika NO Reforms No election yenyewe itakuwaje
YesNi mambo ya kawaida kwa binadamu, majukumu yake ya kusimama mda mrefu, huenda kuna wakati pressure inashuka ghafla hivyo kusababisha ubongo kukosa oxygen ya kutosha.
Anaweza kupata hali hiyo mtu yoyote. Pole yake.
Kweli mkuu, na huwa inatokea tu. Wapo wavutaji na hawana hata dalili ya kuathiriwa ini, wapo waumwao figo pia na hawajawahi gusa kileo. Basi tu hutokea yaani😥Kuna muda mwili una react tu na huwezi ku u control.
Ndo mana unaona mtu mzima hana shida yeyote mara kaanguka tu ghafla au kapata stroke ghafla.
Kikubwa tumuombee huyu binti apate nafuu na kurudi kwenye majukumu yake.
Sote ni binadamu miili yetu inaweza kupatwa na lolote wakati wowote.
🤣🤣🤣We tupo na matatizo hapa mkuu,Mmeanza kuchoka mapema hivyo na bado hamjafikia kukimbiza mkokoteni kifua wazi?
Hapa kuna mengi ya kuyaongelea ila acha watoto wawahi shule ugali ufike mezani na familia iendelee kuneemeka huku kazi ikiendelea kufanyika hata kwa kukosa usingizi bila kulala, afya ni changamoto ya kila mtu sio suala la kumlaumu yeeye km yeeye askari huenda hii siku ya leo afya yake haikua sawa labda hakuweza kulala na hapo bado akapewa nafasi akasimame nyuma ya rais, all in all huo ndio uaskari ni amri ndio maana akamtonya mpambe wa rais kwamba naenda chini fanya jambo washtue wengine naanguka, salute mingi 🫡 kwake ingawa sijui anaitwa naniTazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Kuto kuheshimu miongozo ya kazi kujifanyia vitu kienyeji ndio tatizo. Watu kama hao wanatakiwa kuwa na uangarizi wa kiafya mara kwa mara. Pia wanatakiwa kufuwata ushauri wa kitaalam zaidi. Schedule zao zinatakiwa kupitiwa ili ziwe sio za kuchosha sana. Ila kwasababu ya ubadhirifu wa pesa za umaa. Unakuta hela za budget ya wataalam haipo, unakuta budget ya mapuziko imeliwa.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Labda amevuja damu nyingi kwenye siku zake(period). Wanawake Wana complications nyingi, wanapaswa kufanya kazi ndogo ndogo tu. Mambo ya gender equality yatawatesa sana
Nishauri RacoonHujafikiri vizuri hapa.
Ndugu yangu ukiwa kama mlinzi wa rais umepitia training za kutosha utashindwa kusimama kwa muda tu ? Wakifanya uchunguzi watagundua kuna nepotism. Kuna ofisi na vitengo serikalini wakuu wa Idara wapo wapo tu.Unakuta mtu kawekwa hapo kwa sababu ni mvaa makobazi. Na wanaopiga hela ni watu wa chini na wakuu wa Idara hawajui nini kinatokea kazi yao ni kusoma magazeti asubuhi mpaka jioni.Kwani mtu mwenye vigezo hawezi pata changamoto ta kiafya?
Kweli tuna hitaji katiba mpya . Yaani mtu anaamini katiba ni kijitabu tu. Halafu huyo huyo katiba inampa madaraka ya kuteuwa majaji, na kutenguwa majaji. Halafu wananchi wanatakiwa kuwa na imani na mahakama?Mungu amsimamie apate nafuu.
Anaonekana binti anayeipenda sana kazi yake. Alijitahidi kupambana ila changamoto ya kiafya ikamshida nguvu.