Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

mi pia nmeshangaa sana kuona mhusika wa utekaji kabakia tena akiwa comfortable kabisa kama vile hakuna kilichotokea
 
huyo aliyebaki pia mmeshindwa kumvizia kumkamata mbona ana kamwili kadogo
 
Matumizi ya maneno! Huyu anakamatwa au anatekwa?
 
Boda bwana wanajiona wajanja sana kula wake za watu.

Ni vijana wasiokuwa na heshima kabisa wala sina huruma nao kabisa.
kesho utatekwa wew , tulitawaliwa hv hv kwa kuzingatia vitu vya kijinga na kuacha mambo muhimu , hao watekaj wakinogewa bas na ww utatekwa siku moja
 
Boda bwana wanajiona wajanja sana kula wake za watu.

Ni vijana wasiokuwa na heshima kabisa wala sina huruma nao kabisa.
kesho utatekwa wew , tulitawaliwa hv hv kwa kuzingatia vitu vya kijinga na kuacha mambo muhimu , hao watekaj wakinogewa bas na ww utatekwa siku moja
 
Sasa ccm inahusikaje Hapo
tuilaumu chadema maana ndo wanaongoza mhimili wa serikali uliobeba wizara ya ulinzi , pia tumlaumu Tundu Lissu kwa kutomuwujabisha waziri wa ulinzi maana hao jamaa wamekuja na gari binafsi , je jeshi halina gari ? CHADEMA wanazingua sn , km vp nchi ikabidhiwe kwa ccmu tu
 
Hii nchi ngumu sana unaeza kufa uku wana wakichukua video ili warushe jf wapate like za kutosha
 
Huyu kijana sijui ndo taarifa zake zilianza kusambaa majuzi kuwa kapotea. Niliona kwenye page ya jamaa wa EATV
 
wake za watu sumu vijana bodaboda,
unadhani unaiba kwa siri, matokeo yake unapotezwa hadharini dah, inasikitisha sana na inafedhehesha mno,

Tamaa ni kitu mbaya sana ndugu zangu 🐒
Yaani we msenge huna akili kabisa. Umejuaje kuwa wake za watu?
 
Wakati utekaji unaendelea,toboeni tairi,wakati wanaziba pancha pigeni simu polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…