Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunduki ndio imefanya nini mazee...Umesoma neno bunduki?
Hujajibu swali langu hata mmoja.Povu! Hayo umesema wewe.
Kijiwe kina watu wangapi atekwe yeye??
KWamba ni wachuna ngozi na ngozi yake ndio yakipekee hadi waje hadharani kumchukua?
Ni mwanasiasa kwamba wametumwa na wapinzani wake?
Mfanyabiashara ???
Hizo ni kesi binafsi anajua huyo boda na waliomfuata wamalizane mambo yao atarejea kijiweni
sasa hapa mwenye mihemuko ni rubii au ywf ??Hujajibu swali langu hata mmoja.
Umerudia kutoa hoja za mihemko. Suala la uhai wa mtu ni serious sana kuliongelea kwa juujuu kama unavyolichukulia wewe.
Wewe hujui hata huyo mtu kama ni bodaboda kweli maana unaweza ukaendesha pikipiki na usiwe bodaboda.
Unavyosema ni kesi binafsi unaongelea kesi kama zipi?? na kwa udhibitisho gani kwamba huyo mtu anayetekwa ndie muhusika??
Kila jambo halitosis sababuHujajibu swali langu hata mmoja.
Umerudia kutoa hoja za mihemko. Suala la uhai wa mtu ni serious sana kuliongelea kwa juujuu kama unavyolichukulia wewe.
Wewe hujui hata huyo mtu kama ni bodaboda kweli maana unaweza ukaendesha pikipiki na usiwe bodaboda.
Unavyosema ni kesi binafsi unaongelea kesi kama zipi?? na kwa udhibitisho gani kwamba huyo mtu anayetekwa ndie muhusika??
Ukipata nafasi ya kushika mbupu zake itapendeza sana maana unakuwa na remote controlNahidi nitatekwa ila Wallah nitatoka na sikio hata la mmoja wao yaan nitahakikisha nimelikata nikalitema chini puu.
Uzuri hata wakiniuwa ni sawa na huko huko nako pelekwa sijui kuna kurudi au laaa..
Huna akili wewe! Kwa hiyo mtu anaye yaongelea madhaifu na mapungufu ya serikali naye ni mchafu amevunja sheria?Hizi ni ishu binafsi ukiwa msafi kwenye jamii haya hayakupati huwezi tekwa kama sio mtu wa matukio au mvunja Sheria ya asili
Inawezekana kabisaKuna Uzi humu Jf unasema Tanzania tunaelekea kule iliko Congo Leo hii aliyoiasisi mobutu seseko
Inabidi tuendelee kukumbushanaInawezekana kabisa
Tofauti ya Watanzania na nyumbu ni pembe tu.Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na mtutu wa bunduki (kama inavyoonekana kwenye video), watu ikabidi warudi nyuma.
Boda boda akafungwa pingu kwa kusumbuana nao sana. Wakaanza kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Boda hakukubali kirahisi mpaka alipotolewa bastola na huyo aliyevaa vest nyekundu.
Kwa hiyo wake za watu nao ni tatizo sasa kwa nini bodaboda wawe wahanga wa jambo hili, mwamba akigundua au kuona ni vyema adili na mkewe kwani ameombwa mara ngapi ni suala la yeye kukataa anapokubali basi mwenye tatizo ni mwanamke, wanaume wameumbwa na tabia hizo za kupenda na kuomba wachache wanao lazimisha, mpaka hapo tujue tatizo liko wapi.wake za watu sumu vijana bodaboda,
unadhani unaiba kwa siri, matokeo yake unapotezwa hadharini dah, inasikitisha sana na inafedhehesha mno,
Tamaa ni kitu mbaya sana ndugu zangu 🐒
Mkuu, Linipokuja suala la serious kama kutetea uhai wa mtu kwanini tu-coclude kwa ku-guess??Kila jambo halitosis sababu
Inawezekana jamaa kadhulumu,kachukua mke wa mtu,au jamaaa ni mtu wa matukio
Ova
Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na mtutu wa bunduki (kama inavyoonekana kwenye video), watu ikabidi warudi nyuma.
Boda boda akafungwa pingu kwa kusumbuana nao sana. Wakaanza kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Boda hakukubali kirahisi mpaka alipotolewa bastola na huyo aliyevaa vest nyekundu.
Inasikitisha sana ila Kwa kuwa Mnafunda mashoga sawa endeleeni kwa kweli Mtu anakuonyeshea bunduki unazani kwani atakupiga nayo hiv watu wote mkiwasonga songa hawo hamjui watatulia acheni uoga ninyi watuInasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na mtutu wa bunduki (kama inavyoonekana kwenye video), watu ikabidi warudi nyuma.
Boda boda akafungwa pingu kwa kusumbuana nao sana. Wakaanza kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Boda hakukubali kirahisi mpaka alipotolewa bastola na huyo aliyevaa vest nyekundu.
Ishu zingine ni privateHuna akili wewe! Kwa hiyo mtu anaye yaongelea madhaifu na mapungufu ya serikali naye ni mchafu amevunja sheria?