Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Nahidi nitatekwa ila Wallah nitatoka na sikio hata la mmoja wao yaan nitahakikisha nimelikata nikalitema chini puu.

Uzuri hata wakiniuwa ni sawa na huko huko nako pelekwa sijui kuna kurudi au laaa..
Ni rahisi kuongea, we omba yasikukute hilo sikio huwezi ht kulifikia
 
Mkikusanyika watu 50 au 100 hapo watawaua wote?

Hao watekaji hapo kama risasi wali,o nazo sidhani kama zinazidi 10 kama wana bastola

Kuingilia mambo ya watu ni risk mno
Watu wamteke boda boda????
Hao bila shika wanajuana tu wakamalizane arudi kijiweni
 
Ule Uzi unaosema Tanzania tutakuwa Congo ijayo tutauukumbuka kama hatua hatua hazitachukuliwa
 
Askari ambaye amepitia mafunzo anakuja kukukamata hajavaa sare ya aina yoyote ile , daah ni hatari sana sema watanzania ni waoga sana huku kenya huwa tunakulanga saani moja na askari.
 
Reactions: ywf
Askari ambaye amepitia mafunzo anakuja kukukamata hajavaa sare ya aina yoyote ile , daah ni hatari sana sema watanzania ni waoga sana huku kenya huwa tunakulanga saani moja na askari.
Acha kutudanganya na wewe,wakenya wangapi wameshatekwa na kuuawa kinyama mpk sasa...?
 
Kuingilia mambo ya watu ni risk mno
Watu wamteke boda boda????
Hao bila shika wanajuana tu wakamalizane arudi kijiweni
Kwa upande wako boda boda ni kama taka taka flani hivi ambae hana thamani hata akiuliwa hadharani bila sababu hastahili kupewa msaada wowote.

Ni watu wa taaluma au fani gani wanastahili au wenye vigezo vya kupewa msaada wanapopatwa na tatizo kama hilo lililompata huyo unaemwita "bodaboda" kwenye video??

Ni kitu gani kimekufanya uamini hao watu wanaomteka huyo bodaboda wanajuana nae??
 
Hukumu ya kutembea na Mke wa MTU ni kuuliwa ?.
ni kupewa taji sio gentleman?
au ni zawadi gani anastahili mwizi wa wake za watu akifumwa?

my friends,
kuna watu hawajui kuongea, wakithibitisha wanatenda tu na yanaisha 🐒
 

Povu! Hayo umesema wewe.
Kijiwe kina watu wangapi atekwe yeye??
KWamba ni wachuna ngozi na ngozi yake ndio yakipekee hadi waje hadharani kumchukua?
Ni mwanasiasa kwamba wametumwa na wapinzani wake?
Mfanyabiashara ???
Hizo ni kesi binafsi anajua huyo boda na waliomfuata wamalizane mambo yao atarejea kijiweni
 
Yaani we msenge huna akili kabisa. Umejuaje kuwa wake za watu?
muerevu mihemko na makasiriko sio deal,

we mendea wake za wenyewe na boda boda yako, ila usije kulaumu kitakachokupata 🐒
 
Ishi maisha Yako usipende kujiingiza kwenye vitu usivyovijua hata ungedakwa wewe huyo boda angekua anakuangalia tu
 
 

Attachments

  • IMG-20250106-WA0035.jpg
    119 KB · Views: 1
  • IMG-20250221-WA0055.jpg
    77.5 KB · Views: 2
  • IMG-20250216-WA0001.jpg
    93.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…