The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Huwezi ingia usiyojajua either ni jambazi au mla wake za watu kadakwaSawa kabisa, mwanausalama aliyeiva anakuwa na emotional intelligence na hufanya calculated moves sio kutoa silaha kiholela na kujiexpose .
Hao jamaa ninaamini wamekuta wanaowazunguka na kuchukua video ni waoga sehemu nyingine ingekuwa kama Tegeta kwa ndevu.
Mkuu kafanya nn ili tuache kumtetea. Kama kabaka au kaua tujuze basi, badala kutuacha njia pandaBoda kafanya michezo michafu huyo acheni kutetea mambo msiyoyajua. Vijana acheni tamaa ndio zinawaponzaga mfe mapema
Wangekigonga Iko kigariNingekua dereva wa Roli ningeenda kulipachika Kwa mbele, hafu nikafunga Gari, nikaondoka zangu....!
Then namwambia dreva mwingine akalipachike Kwa nyuma.
Sehemu nyingine ipi??? Ndugu hii nchi UJASIRI UMENAJISIWA KINYUME NA MAUMBILE.Sawa kabisa, mwanausalama aliyeiva anakuwa na emotional intelligence na hufanya calculated moves sio kutoa silaha kiholela na kujiexpose .
Hao jamaa ninaamini wamekuta wanaowazunguka na kuchukua video ni waoga sehemu nyingine ingekuwa kama Tegeta kwa ndevu.
Shida ujui kama huyo jamaa ni jambazi au mla wake za watu ili anakwenda kupelekewa kiboga
Tuanze karibisha mijadala ya tutazikabili vipi pisto mkuu, hizi nadharia nyingi za mrandaoni za watu ambao hatukua karibu na tukio hua na nguvu sana kwa kua hatukuwepo bila mkakati makini no progress. Ni kama kwenye maandamano tu, Kila mtu anakua yupo nje ya town au alikua ana-dharuraNingekua dereva wa Roli ningeenda kulipachika Kwa mbele, hafu nikafunga Gari, nikaondoka zangu....!
Then namwambia dreva mwingine akalipachike Kwa nyuma.
Kweli kabisa mkuu binafsi nimejiuliza huyu mwenye piki piki kafanya nini kibaya mana jamaa walikua na bunduki na bastola pale.Hii video ina maswali mengi sana
Unayaweza Kama maneno yako au ndio Ghost writter n Ghetto warrior ?Dar na Pwani kumamaye zenu, mnakula mayai ya kisasa kiasi kwamba Hamna akili za Kupambana na changamoto chapchap.
Toa way forward mkuuWanaume wa pwani ni watu waoga sana na bahati mbaya wanajifanya wajuaji sana na ndio maana nitawakubali siku zote wanaume wa mkoa wa mara hasa wakurya .
Nakumbuka miaka ya 2000 kuja mpka 2008 askari au mwanajeshi tulikuwa tunamuona kama mgambo tu kwani kisu cha tumbo au shime moja tu ilikuwa inatosha kumziba mdomo na ubabe wake.
Na wakati wa jando (tohara) mwezi wa kumi na mbili tulikuwa tunafundishwa namna ya kukimbia kwa kukwepa risasi endapo umempiga askari.
Jakaya ndo alitukosea sana kutuletea kanda maalumu.
BHAMUR abantu bha pwani ni abarisia sana.
Mmezengua Sanaa sanaaa, kama ndo mpo hivo kujitoa CCM Madarakani ni kazi ngumuDaktari wa Tamisemi una jeuri kwakua mshahara umeingia unatukana hata watu huwajui
Upo mkoa gani mkuuMmeshimdwa hata kutumia Lori lenu kugombea hiyo gari Yao ndogo wakakoswa namna ya kutóka??.
Mmeshindwa hata kuwagonga na gari Mmoja wao akavunjikia hapohapo??.
Dar na Pwani kumamaye zenu, mnakula mayai ya kisasa kiasi kwamba Hamna akili za Kupambana na changamoto chapchap.
Sasa kama Hilo wanawafanyia Mchana, ni vipi kuhusu usiku??.
Wewe Mimi ni mtu wa Kanda ya ziwa .Unayaweza Kama maneno yako au ndio Ghost writter n Ghetto warrior ?
Hiv mkuu unadhan hapo waliokuwa wanashangaa hapo wangesogea hata watu 20 huyo jamaa wangemchukua? Tatz linakuja n uoga wetu tuliotengenezewaToa way forward mkuu
Niko Kanda ya ziwaUpo mkoa gani mkuu