Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Hixo akili zako ndo akili za wakongo zilivyo hadi saivi wanashangilia nchi yao kutwkwa maeneo yake na M23.

Mnawaza upumbavu na ujinga tu kiasi akili zwnu haziwezi kabisa kupambanua masuala ya haki na utawala wa sheria
Tii Sheria bila shuruti,usile wake za watu ,acha dhuluma acha wizi mambo kama huwezi yasikia
 
Kuna mawili sie hatujui hapa tulipo. Inawezekana huyu ni jambazi hakuna njia ingine ya kumkamata. Au kakataa kukamatwa akajibu makosa yake. Kwa Nini wamkamate hana hela hana unaarufu? Kuna watu wengi hapo wapita njia, Kwa nini wao hawakamatwi?
Dhahania zako za weza kuwa sahihi kabisa ila hoja ya wengi ni je???Kanuni taratibu na sheria za ukamataji zimezingatiwa???

Hata kama mtuhumiwa ni jambaka au vyovyote hana hatia until proven gilty.

Unajua sisi waafrica tunapenda sana tuwe kama wazungu tuishi kistaarabu na kwa amani.Ila tatu hatutaki kufata mchakato, hatutaki kupitia mchskatoa wa EVVOLUTION to be come CIVILIZED.

Ili jamii iwe Civilized lazima tuwe mifano kwa mambo kama haya.RULE OF LAW lazima iwe observed.Kila mtu LAZIMA AWE CHINI YA SHERIA.TUKIWEZA HIVI VITU HAKIKA TUTAHESHIMIKA NA BINADAMU WENGINE.

TOFAUTI NA HIVYO MIMI NASEMA WAZUNGU WAPO SOOOO RIGHT KUTUBAGUA.HATA INGEKUWA WEWE NDO BIG BRAIN KIUHALISIA HUTOKUBALI CHANGAMANA NA AVERAGE PEOPLE.
 
Sahihi kabisa mkuu, hizi video hua zona mchango mkubwa. Huu mfano uliotoa wa mwanza, ukiangalia kwenye comments humu inasakamwa Dar na pwani wanafikiri ni fashion kumbe hili ni janga letu sote na yanatokea maeneo mbalimbali kwa pattern ile, huko Tarime watu wanakula shaba na polisi wenye gwanda kabisa na hakuna linalotokea. Watu makini wajitokeze na mikakati ya kujihami katika nyanja mbalimbali hata kisheria
 
Huu nao ni ujinga mwingine. Hivi wewe hujui kwa sasa watu walio wengi wanaoishi Dar wametoka mikoani?? Ikiwemo watu wa huo mkoa wako unaojisifia??

Kuna sifa nyingine za kijinga sana.
Wametoka mikoani lakini huo ujinga huwezi kuta mkoa tajwa hiv kweli mtu anaomba msaada hvo watu wanashangaa tu hiv aliyewaroga ni nani? Njoo mkoani uone wanaume wanavyotembea huwezi kuta mwanamme anatembea bila kisu au sime.
 
Boda bwana wanajiona wajanja sana kula wake za watu.

Ni vijana wasiokuwa na heshima kabisa wala sina huruma nao kabisa.
 
Mungu wangu uliyeniumba.
Naomba hiyo siku ikiniyokea niwaue watekaji wataokuja kuniteka.
Ni hayo tu.
 
Hapo kuna chawa mmoja anabubujikwa na machozi ya furaha maana mama anaupiga mwingi.
 
Boda bwana wanajiona wajanja sana kula wake za watu.

Ni vijana wasiokuwa na heshima kabisa wala sina huruma nao kabisa.
Kuchapiwa kwako huyo demu wako.Kusikufanye ukawa kipofu ukashindwa kuchambua pumba na mchele.

Hata ukiendelea kuwachukia boda boda kisa wewe kuchapiwa haitaondoa ukweli wanaume MAGOIGOI NA WAZEMBE kupokonywa matonge ni kawaida and its natural.Viumbe hai vyote vinafanya hivyo vikubwa kwa vidogo.
 
Huyo wangemlaza tu.

Akalipe ushababi wake sasa.

Ujanja wao ni kwa wanawake tu.

Hapo kawa mdogo kama piriton
 
Matukio kama haya eti kuna wajinga bado wanaipenda ccm tu
 
Reactions: ywf
Kabisa mkuu
 
Reactions: Lax
Mkuu kama utaleta uzi kama ulivosema itakua vizuri kwa ajili ya awareness.
 
Asleep umesema penyewe.

Yaani wamejengewa tabia ya kupenda mpora na kubet.
Nchi ya kusifu na kuabudu!!!

Maisha yakiwa magumu wanaelekezwa kwa mitume 😀😀😀wakaombewe wapate utajiri🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…