Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Mkuu kwanini unakuwa na chuki isiyo na kifani kwa mtu baki bila kuwa na sababu ya msingi.

📌📌📌Unafeatures za SADISTS!!!
Boda ni wapumbavu as simple as that.

Hawana adabu.
 
Kuna Uzi humu Jf unasema Tanzania tunaelekea kule iliko Congo Leo hii aliyoiasisi mobutu seseko
 
Roho inaniuma sana matukio ya namna hii kuendelea kutokea nchini, nimejisikia vibaya mno!

Kijana wa watu Mungu amsaidie.
 
Unashindwaje kufa na pumb la mmoja?? Wabongo tunatekwa kindezi sana aisee! Ikifika life or death unapasua kichwa na kitu chochote cha karibu, dah inatia uchungu, huruma na hasira at the same time, wakati mapimbi wengine wanarecord tu!
 
Ametekwa kwanini sasa..au kachukua mke wa mtu? Hii ncho nayo siku hzi imekua ya ajabu sana
 
Mkuu umeisoma viizuri hii habari? Au ndio uhodari nyuma ya Keyboard?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…