residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu Kipangaspecial ,hili jambo uliloliandika la Watanzania kuongoza kwa kuogopa mabadiliko ni kweli kabisa. Nina utafiti wangu nikiumaliza,nitaweka uzi JF kuhusu "woga wa mabadiliko".Watanzania wanaongoza kwa kuogopa mabadiliko duniani na ulimwengu.
Ni rahisi kuwaambia wapinzani wapiganie tume huru, ila ni ngumu kiutekelezaji.
Halafu tume huru na katiba sio issue ya kupiganiwa na wapinzani, hiyo ni issue ya watanzania wote
It has never being easyA long walk to freedom
Siku zote huwa kazi ngumuDuuh! Tuna kazi kubwa Sana kuifikia nchi ya asali na maziwa. Lkn kwa pamoja tutashinda.
Nguvu ya umma humuondoa hata dikteta madarakani.
SanaManeno yake yametuumiza sana, tunamwachia Mungu
Ushahidi huuHii video ndio tumplekee Amsterdam akaanze kuandaa kesi ICC. Huku sisi watanzania tukipeleka zuio mahakamani kumzuia huyu kada wa ccm kuwepo kwenye hiki kiti.
Kada wa chamaHuyu mtu ni hatari sana!!!
video hii inatakiwa kusambazwa dunia nzima tena kwa wingi sanaKumwita mjinga unampa sifa asiyostahili. Mjinga hujifunza lakini huyu hata umfundishe vipi ni kazi bure kwa sababu yeye anaamini anajua (si naye ni Dr.?) kumbe hajui. Anayeamini anajua kumbe hajui si mjinga, yuko kwenye ngazi ya peke yake...heri hata mjinga. Katika awamu hii hiyo ni sifa tosha.
Asante mkuuHii apa
Aisee hawa jamaa hizi pesa za uchaguzi si watugawie tu wananchi tukale Ubwabwa, wanacheza na akili zetu tu hakuna Uchaguzi huru na haki hapaHii apa
Ivi unafikili hapa Duniani Hata ukimpa Mtoto mipila miwili yenye Ranging Tofauti achague mmoja kuna atakaoupenda hata huko time kuna watu wnaopenda chadema na wanaopenda CCM hao in Binadamu sio malaika pamoja na Yote jamaaa kaongea ukweliNa sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali.
1. Kateuliwa na nani?
2. Je, unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?
3. Je, kwanini Asad alitimuliwa?
Duh! Kumbe huyu mkurugenzi wa NEC ni mjinga kiasi hiki!!! Hata mtu mwenye dhamira mbaya lakini mwenye akili, hawezi kunema hivi.
Huyu ni mjinga mwenye dhamira mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekuwa Dr Mahela ningejiuzuru kabla hakujakucha , hii video ni sawa na kuvuliwa nguoNdege Tunduni
Huyu hata akigoma kujiuzulu anatakiwa atimuliwe na wananchiMwenyezi Mungu ni mwema Mkuu katufungua macho kuona dhamira yake hata kabla ya uchaguzi. Sasa tushinike ili AJIUZULU.
Afunguliwe kesi mapema kabla ya October 28 ili iwe fundisho kwa wenzake akila IGP na wengineo wenye nia ya kuisaidia CCM kudidimiza demokrasiaHii video ndio tumplekee Amsterdam akaanze kuandaa kesi ICC. Huku sisi watanzania tukipeleka zuio mahakamani kumzuia huyu kada wa ccm kuwepo kwenye hiki kiti.
Bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ipo kwenye G5 na pia kuwa na kura ya vetoCCM wamebaka nchi hii mpaka, haina matumaini tena
Na ndivyo ilivyo duniani kote, nadhani Trump alikuwa Democrat lkn leo anatekeleza sera za chama kipya.Uongozi wa NEC ni km uongozi wa TFF huwezi pata mtu neutral asiefungamana na upande wowote..kikubwa ana tenda vp haki baada ya kupata uongozi?[emoji2369][emoji2369]