Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Hata CCM unategemea wapiganie Tume huru. Haujui unalosema. Wewe ni wa kusoma na kupita kimya kimya. Bila uongozi watu milioni 60 hawawezi kufanya kitu kwa lengo moja na kufanikiwa.
Ni rahisi kuwaambia wapinzani wapiganie tume huru, ila ni ngumu kiutekelezaji.

Halafu tume huru na katiba sio issue ya kupiganiwa na wapinzani, hiyo ni issue ya watanzania wote
 
Kumwita mjinga unampa sifa asiyostahili. Mjinga hujifunza lakini huyu hata umfundishe vipi ni kazi bure kwa sababu yeye anaamini anajua (si naye ni Dr.?) kumbe hajui. Anayeamini anajua kumbe hajui si mjinga, yuko kwenye ngazi ya peke yake...heri hata mjinga. Katika awamu hii hiyo ni sifa tosha.
video hii inatakiwa kusambazwa dunia nzima tena kwa wingi sana
 
Na sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali.

1. Kateuliwa na nani?

2. Je, unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?

3. Je, kwanini Asad alitimuliwa?
Ivi unafikili hapa Duniani Hata ukimpa Mtoto mipila miwili yenye Ranging Tofauti achague mmoja kuna atakaoupenda hata huko time kuna watu wnaopenda chadema na wanaopenda CCM hao in Binadamu sio malaika pamoja na Yote jamaaa kaongea ukweli
 
Mwenyezi Mungu ni mwema Mkuu katufungua macho kuona dhamira yake hata kabla ya uchaguzi. Sasa tushinike ili AJIUZULU.

Duh! Kumbe huyu mkurugenzi wa NEC ni mjinga kiasi hiki!!! Hata mtu mwenye dhamira mbaya lakini mwenye akili, hawezi kunema hivi.

Huyu ni mjinga mwenye dhamira mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu ni mwema Mkuu katufungua macho kuona dhamira yake hata kabla ya uchaguzi. Sasa tushinike ili AJIUZULU.
Huyu hata akigoma kujiuzulu anatakiwa atimuliwe na wananchi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii video ndio tumplekee Amsterdam akaanze kuandaa kesi ICC. Huku sisi watanzania tukipeleka zuio mahakamani kumzuia huyu kada wa ccm kuwepo kwenye hiki kiti.
Afunguliwe kesi mapema kabla ya October 28 ili iwe fundisho kwa wenzake akila IGP na wengineo wenye nia ya kuisaidia CCM kudidimiza demokrasia
 
Uongozi wa NEC ni km uongozi wa TFF huwezi pata mtu neutral asiefungamana na upande wowote..kikubwa ana tenda vp haki baada ya kupata uongozi?[emoji2369][emoji2369]
Na ndivyo ilivyo duniani kote, nadhani Trump alikuwa Democrat lkn leo anatekeleza sera za chama kipya.
 
Back
Top Bottom