Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Tuukatae huu mfumo wa kishamba na kishenzi wa huyu mfedhuli anayetawala sasa.Amesema ukweli mtupu!
Ni kweliHeading na content haviendani
Ogopa Mungu na Teknolojia"Na sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali.
1. Kateuliwa na nani?
2. Je, unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?
3. Je, kwanini Asad alitimuliwa?
Mkuu,
kwanza naomba ufahamu mambo mawili ya muhimu sana kuhusu Tanzania
1. lazima ushabikoe Timu moja ya mpira kati ya Simba au Yanga
2. Lazima ushabikie Chama Tawala au upinzani
Kila Mtanzania anachama ambacho anakikubali so huwezi mpaka Mtanzania ambaye hana Chembe za hivyo vitu
Kwa nini boss, lipi lisiloeleweka?Heading na content haviendani
Kwanza hajui hata kiswahiliWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Yaani huyu ndio refa? Katika watu waliokosa aibu na hofu ya Mungu nafikiri watz ni namba 1.Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Nikiwaza jinsi Asad alivyotimuliwa naona kabisa jinsi jamaa alivyokosa nia ya dhati kuikomboa nchiNa sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali.
1. Kateuliwa na nani?
2. Je, unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?
3. Je, kwanini Asad alitimuliwa?
Wapinzani ni wakina nani?Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Huyo sio mwenyekiti cha NEC, Hicho ni kikao cha CCMWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Maonj yako ni nini MtanzaniaImagine mtu huyu wa tume anaeleza wazi kuwa yeye atakataa kutangaza aliyeteuliwa na wananchi na kumtangaza anayempenda yeye just because ameona hakutumia lugha anayoitaka yeye??????? Can you believe this??????
CCM wanatamaa ya madalaka zaidi ya tunavyo fikiri, nadhani wanaogopa kutoka madalakani kwasabu kinacho kusanywa ni kikubwa kinacho pelekwa kwenye maendeleo ni robo ya kinacho kuswanya ,wanaogopa kuondolewa madalakani ili tusujue siri zao ndio manaa wanatumia njia za hatari bila wogo hapa hakuna uchazi nikupoteza mudaWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550