Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
ACTION!Hii video ndio tumplekee Amsterdam akaanze kuandaa kesi ICC. Huku sisi watanzania tukipeleka zuio mahakamani kumzuia huyu kada wa ccm kuwepo kwenye hiki kiti.
Walikuwa busy na kingereza cha MagufuliMiaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Kumbe cheo cha DED sio neutral.? ndo maana tunaona haya yanayotokeaDuh..
Ila si kipindi hicho kabla hajapewa Cheo neutral
Rudia kusoma kwa uangalifu heading na nyamaKwa nini boss, lipi lisiloeleweka?
CCM wanatamaa ya madalaka zaidi ya tunavyo fikiri, nadhani wanaogopa kutoka madalakani kwasabu kinacho kusanywa ni kikubwa kinacho pelekwa kwenye maendeleo ni robo ya kinacho kuswanya ,wanaogopa kuondolewa madalakani ili tusujue siri zao ndio manaa wanatumia njia za hatari bila wogo hapa hakuna uchazi nikupoteza muda
High spirit High hope!Atatangaza tu. Mwaka huu hakuna janjajanja tena
Duh..
Ila si kipindi hicho kabla hajapewa Cheo neutral
No wonder to what is happening to the opposition. He is a CCM zealot by heart and blood.Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
Kupita kiasi.Huyu mtu ni hatari sana!!!
It is a key indicator for a ripe revolution. Freedom! Freedom is coming tomorrow!!!!!Hahahahaha..... slavery mentality kama mgombea urais wa saccos ya Chadema!!
Hakika inasikitisha sana Mtu mnaetarajia atatenda Haki ndio anatoa Kauli hii Tanzania hakuna Uchaguzi Huru na Wa HakiWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
Tumefika huko kwa sababu ya kuwa na wenyeviti wa upinzi wabinafsi kwa muda mrefu.Wanafiki wamejaa CCM.