Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Walikuwa busy na kingereza cha Magufuli
 
Hakuna tatizo;
Ukiteuliwa na Mungu utamtumikia Mungu
Ukiitwa na 'yule mwovu' utamtumikia 'yule mwovu'
 
ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani.....sasaaaaa.....Bassssssss!!!!!!!!!!
 
Huyu ndiye eti Mkurugenzi wa Taifa wa Uchaguzi - unategemea nini hapo??
 
CCM wanatamaa ya madalaka zaidi ya tunavyo fikiri, nadhani wanaogopa kutoka madalakani kwasabu kinacho kusanywa ni kikubwa kinacho pelekwa kwenye maendeleo ni robo ya kinacho kuswanya ,wanaogopa kuondolewa madalakani ili tusujue siri zao ndio manaa wanatumia njia za hatari bila wogo hapa hakuna uchazi nikupoteza muda


Kabla ya kuwaza kuwaondoa CCM madarakani kwa nini usijifunze kwanza kuandika vizuri?
 
Duh..
Ila si kipindi hicho kabla hajapewa Cheo neutral

Hapa alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya. Kwa nafasi hiyo hakutakiwa kushiriki vikao vya chama cha siasa. Kikai hiki anachohutubia ni cha Halmashauri Kuu ya ccm ya Wilaya husika. Ushiriki wake kwenye kikao cha chama ni moja ya ishara mbaya kuwa mifumo ya uongozi na utawala ya nchi yetu imevurugwa sana. Wanasiasa wetu sasa wanawaza jambo moja tu: kubaki au kuingia madarakani kwa njia yoyote halali au haramu! Binafsi nimekutana na baadhi ya watumishi wa Halmshauri aliyokuwa anatumikia. Watumishi hao walionyesha kuridhika naye kiutumishi lakini walimlaumu sana kwa ukada! Walidai kuwa alikuwa akiwakera kwenye vikao vya kazi alivyokuwa akivisimamia kwa kuingiza ukada!
Ikumbukwe kuwa nchi hii ilipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi kulikuwa na jitihada nzuri kuheshimu mfumo huo ili kudumisha umoja na utangamano katika nchi. Kutokana na jitihada hizo viongozi wa serikali ambao walishiriki vikao vya ccm ni wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa tu. Hao ndio walikuwa kiungo kati ya serikali na chama chenye serikali. Hata hivyo ili kuweza kuwaunganisha wananchi wote kwa ajili ya maendeleo yao viongozi hao hawakujihusisha kabisa na siasa za majukwaani za chama chao.
 
Nyerere alikufa na Tanzania yake kama sir Alex ferguson alivyo ondoka na Man utd yake. Long way tu go cha muhimu ni pumzi.
.
Hawataki kutupatia elimu bora maana wanataka kutuongoza milele
 
The land is running toward its own bullshit!
 
Wanafiki wamejaa CCM.
Tumefika huko kwa sababu ya kuwa na wenyeviti wa upinzi wabinafsi kwa muda mrefu.

Hawa watu kwa muda mrefu wevurga sana chaguzi na kulisababishia taifa hasara lakini hakuna lolote lenye kuleta hofu kwao limefanyika zaidi ya Wao kufurahia udhalimu wao ma kupandishwa vyeo.
Hivi Mbowe alikua wapi miaka mitano bila kulusanya michango ya Chama na kuimarisha mfumo wa cha kupata fedha za kampeni?
Basi tu lakini kama kuna watu walioyumnisha demokrasia ya nchi hii ni hao wenyeviti wa vyama vyote vya siasa Tanzania . Ni wabinafsi kupitiliza.
 
Mbwa kama hizi ni za kuchoma moto na familia yote hakuna kuzisubirisha....29/10/2020 hii mbwa haitakiwi kuwepo hapa duniani tuchome tu moto ife na familia yake yoooote!shit
 
Back
Top Bottom