Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Kiingereza kinawasumbua sana wabongo ndio maana tunapigwa sana hata enzi hizo ukisikiliza nyimbo za Bob ulikua unaoneka ni muhuni tu kumbe mzee Bob alikua ana madini ya hatari sana...Kinge ni tatizo hapo aisee
Kabisa, Nime-screenshot hiyo video kuonyesha maneno yanayohamasisha ushoga lakini baadhi ya watu wametoka patupu.

NIMEGUNDUA KUWA MIMI JOB TRUE TRUE NINAKIJUA KINGEREZA KULIKO BAADHI YA WADAU HUMU.

giphy.gif
 
"He wore a pink dress".All his hair he dyed".Alafu mtu anasema ni kitabu cha kawaida.Hapo mwanao akisoma soon ataanza.kuvaa magauni kisha baadae unalalamika mtoto kabadilika,hiki kitabu kinapandikiza mentality za ushoga kwa watoto kidogo kidogo kuvaa gauni kwa mtoto wa kiume sio mbaya?
 
Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto.

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2889864

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Jamii ipo njiapanda
CCM wanasaka kura, wanaokota kila kokoro wanaloona litawasaidia. Hii ishu ya ushoga ni pure inatokana na loopholes zilizowekwa na CCM.

Chama mbadala kikipewa madaraka kiweke sera za kuokoa kizazi
 
Hata kama contents za Vitabu hivyo hazionyeshi ushoga, nadhani ugawaji wa vitabu hivyo ungepata baraka za serikali kwanza! Serikali ingevikagua kwanza na kujiridhisha kwamba havina viashiria vya ushoga!
Hii isingeleta mtafaruku kwa wananchi!
Mimi ni wapongeze wananchi kwa kuwa aware na hali inavyokwenda duniani.
 
Back
Top Bottom