Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Sijui nisemeje ila me binafsi sijaona content ya ushoga Kivile labda tu bukta ya kikatuni PURIDE ila hata title ya kitabu sio ya ushoga kwamba the grandfather that never grew up

Unafiki tu umewajaa

Hapo kuna ushoga gani

Mb

Binafsi sioni kibaya kwenye hicho kitabu.

Wala hakuna content za kishoga hapo.

Niungane na baadhi wenye msemo kuwa, watu wamejawa unafiki tu

Cc Dejane
cocastic

Ushoga? Duh! Watu wameingiwa na wasiwasi kiasi kwamba kila kitu wanaona ni ushoga tu, sasa huyo mwanamke na ushoga wapi na wapi, si wangesema usagaji? Huu ushoga unapewa promo sana hata pasipokuwa na uwepo wa jambo hilo

kiingereza tatizo kubwa, sioni ushoga wowote kwenye kitabu cha the grandpa that never grew up
Kama hamjui kiingereza kaeni kimya.

Kuna sentence hapo mfano.

"He put on makeup
And went as queen"

What does it imply? Mwanaume anapaka makeup? Mwanaune anaweza kuwa malkia?
 
Kama hamjui kiingereza kaeni kimya.

Kuna sentence hapo mfano.

"He put on makeup
And went as queen"

What does it imply? Mwanaume anapaka makeup? Mwanaune anaweza kuwa malkia?

Kama hamjui kiingereza kaeni kimya.

Kuna sentence hapo mfano.

"He put on makeup
And went as queen"

What does it imply? Mwanaume anapaka makeup? Mwanaune anaweza kuwa malkia?
mikataba yenyewe ya kingereza ukiwa wauliza pips,points, pipettes inawachanganya
 
Nakumbuka hivyo vitabu vilipigwa marufuku Mwaka Jana, nadhani ilikuwa Mwezi March hivi.

Kuna kikao tulifanya na PM - Majaliwa nakumbuka ndiyo alitoa maelekezo ya Serikali kuhusu hili swala.

Kama hao washenzi wanaendelea na hizo nia zao ovu za kueneza ushoga nashauri Sheria Kali zitumike kuwaadabisha
 
Kwani vitabu vinagawa myandao ? Wanachofanya nikunormalize kuwa mwanaume anaweza kuwa mwanamke and its fun……ila hizo ndio chembechembe za Kueneza ushoga
nani yupo nyuma yao kupromoti kitu hicho?
 
Back
Top Bottom