warioba anatetea na kuelimisha watatnzania kuhusu katiba yenye usawa wa rasilimali za nchi kwa kila mwananchi, katiba yenye usawa na haki ya kupata elimu bora kwa kila mwananchi akiwemo mtoto wako aliyekosa mkopo bodi ya mkopo kwasababu ya kukosekana usawa unaotafutwa wee mama muuza mwili Lumumba.Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
Taifa letu litaangamizwa na unafiki na uwongo wa baadhi ya watu wanaofaidika au wanaodhani watafaidika na matokeo ya unafiki na uwongo wao.
Ukweli hutafutwa.
Ukweli huweka huru kila binadamu anayeutafuta na kuupata.
Hotel ina CCTV, ukumbi pia una CCTV.
Ukweli hutumia ngazi wakati uwongo hupanda lift.
Kuna baadhi ya wananchi wanawaza katika mlengo wa hisia, wanaongozwa kwa hisia na wanaishi kwa hisia.
Ukweli umeanza kutufikia kwa sasa.
Mwalimu mpaka anakufa aliweza kusimama na watu wachache sana kuliamini Azimio la Arusha. Hawa waliofuatia hatujaona yeyote akisimamia wazo lolote kwa maslahi ya wengi. Leo hii kila mwanaccm anayetaka kuwahadaa Watanzania anajidai kupitia mgongo wa mwalimu.Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.
lets us identify them by name here, tuwaorodheshe kwa majina hapa hao wanaitwa nani na wanaishi wapi. tukiwachekea mwakani watatusumbua sana na kuiacha nchi kwenye mataputapu ya ccm.
Huyu mzee anajidhalilisha mno, tume imeshamaliza kazi yake, kihere here cha nini??
Warioba ni mchochezi
Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
Hiyo picha ndo makonda anampiga warioba?umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba
Huyu mzee si aliwahi kuwa waziri mkuu,mababu huwa wananisimulia,je akiwa waziri mkuu kipi alifanya cha kumfanya japo tumkumbuke?Mwalimu mpaka anakufa aliweza kusimama na watu wachache sana kuliamini Azimio la Arusha. Hawa waliofuatia hatujaona yeyote akisimamia wazo lolote kwa maslahi ya wengi. Leo hii kila mwanaccm anayetaka kuwahadaa Watanzania anajidai kupitia mgongo wa mwalimu.
Sioni kama kuna dhambi kwa Jaji Warioba kumalizia maisha yake kwa kuuamini ukweli unaotokana na alichoambiwa na wananchi ambayo yanashabihiana na utendaji wake alipokuwa serikalini.
Mbali na hapo ni kutaka awe kama Dk Mwakyembe aliyekana kila alichokiandika mwenyewe!
Darling Mamndenyi huyu mzee hakubaliki na nani? Au una maana kile kikundi kidogo kilichoongozwa na Makonda? Hebu kuwa mkweli, mbona mdahalo ulianza vizuri sana na kila alichosema kilionekana kueleweka na washiriki ila baada ya kumzungumzia Mwl Nyerere na unafiki wa viongozi ndio wakaibuka wale washenzi?
hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.