Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
warioba anatetea na kuelimisha watatnzania kuhusu katiba yenye usawa wa rasilimali za nchi kwa kila mwananchi, katiba yenye usawa na haki ya kupata elimu bora kwa kila mwananchi akiwemo mtoto wako aliyekosa mkopo bodi ya mkopo kwasababu ya kukosekana usawa unaotafutwa wee mama muuza mwili Lumumba.
 
Nauliza?? Hivi hao maaskari walio kuwepo mbona hadi muda huu hawaja sema nani kakamatwa kwa kusababisha burugu?! Na mbaya zaidi kufikia kumshambulia Mh Warioba. Kitu ambacho ni kosa la jinai.
 
Makonda amekonda akilini.

Lakini katumwa na nani?

CCM kwa nini mnafanya haya?
 
Hili la Mzee Warioba kweli ni pigo kwa wanaharakati na wazalendo wa nchi hii. Ninadhani ukifikiri unamkuomoa Warioba ni issue unapingana na wakati tu kwani hiyo dhambi itakurubia tu tena sio kwa kipindi kirefu kijacho live long Mhe. Jaji Warioba ili wanaokutakia mabaya waone mafanikio ya misingi unayoisimamia na mamia ya watanzania tupo nyma yako na tunakuombea usiku na mchana
 
Taifa letu litaangamizwa na unafiki na uwongo wa baadhi ya watu wanaofaidika au wanaodhani watafaidika na matokeo ya unafiki na uwongo wao.

Ukweli hutafutwa.

Ukweli huweka huru kila binadamu anayeutafuta na kuupata.

Hotel ina CCTV, ukumbi pia una CCTV.

Ukweli hutumia ngazi wakati uwongo hupanda lift.

Kuna baadhi ya wananchi wanawaza katika mlengo wa hisia, wanaongozwa kwa hisia na wanaishi kwa hisia.

Ukweli umeanza kutufikia kwa sasa.

hii video haiwezi kuleta jibu dhidi ya tuhuma za makonda kwani haionyeshi muda wote makonda alikuwa anafanya nini inawezekana hakufanya ilo tukio lalini video hii haiwezi kutoa jibu ilo
 
Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
Mwalimu mpaka anakufa aliweza kusimama na watu wachache sana kuliamini Azimio la Arusha. Hawa waliofuatia hatujaona yeyote akisimamia wazo lolote kwa maslahi ya wengi. Leo hii kila mwanaccm anayetaka kuwahadaa Watanzania anajidai kupitia mgongo wa mwalimu.

Sioni kama kuna dhambi kwa Jaji Warioba kumalizia maisha yake kwa kuuamini ukweli unaotokana na alichoambiwa na wananchi ambayo yanashabihiana na utendaji wake alipokuwa serikalini.
Mbali na hapo ni kutaka awe kama Dk Mwakyembe aliyekana kila alichokiandika mwenyewe!

hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.

lets us identify them by name here, tuwaorodheshe kwa majina hapa hao wanaitwa nani na wanaishi wapi. tukiwachekea mwakani watatusumbua sana na kuiacha nchi kwenye mataputapu ya ccm.

Ndugu mmeongea jambo la maana sana inabidi hili wadau mbalimbali tulifanyie kazi mapema sana
 
Hivi hawa vijana wa UDSM si ndio hao hao kila siku wanalia wanacheleweshwa mikopo yao? Sasa leo wanaitetea CCM kwa LIPI JEMA ilichowafanyia?

Duh! Akili za vijana siku hizi ni zile za SHAKE WELL BEFORE USE!
 
makonda anajitahid kujitetea its tooo late watanzania tumeshajua umempiga mzee wetu:wacko::wacko:
 
Huyu mzee anajidhalilisha mno, tume imeshamaliza kazi yake, kihere here cha nini??

kwani hukusikia utangulizi wa Butiku? Alisema mdahalo ule umeandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na walioalikwa pale ni kama wananchi wa kawaida hivyo hata aliyokuwa anasema Warioba ni maoni yake binafsi. Wale walioleta fujo wakiongozwa na Makonda pia walikuwa na nafasi ya kuzungumza lakini kwa vile hawakuwa na hoja wakatibua mambo kama walivyotumwa.
Leo usiku nimeota kuwa ningekuwapo ukumbini ningem....... Paulo Makonda
 
Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?

Darling Mamndenyi huyu mzee hakubaliki na nani? Au una maana kile kikundi kidogo kilichoongozwa na Makonda? Hebu kuwa mkweli, mbona mdahalo ulianza vizuri sana na kila alichosema kilionekana kueleweka na washiriki ila baada ya kumzungumzia Mwl Nyerere na unafiki wa viongozi ndio wakaibuka wale washenzi?
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa amepiga kofia ya jani hapo??!! Kweli watu wamepinda.
 
Mwalimu mpaka anakufa aliweza kusimama na watu wachache sana kuliamini Azimio la Arusha. Hawa waliofuatia hatujaona yeyote akisimamia wazo lolote kwa maslahi ya wengi. Leo hii kila mwanaccm anayetaka kuwahadaa Watanzania anajidai kupitia mgongo wa mwalimu.
Sioni kama kuna dhambi kwa Jaji Warioba kumalizia maisha yake kwa kuuamini ukweli unaotokana na alichoambiwa na wananchi ambayo yanashabihiana na utendaji wake alipokuwa serikalini.
Mbali na hapo ni kutaka awe kama Dk Mwakyembe aliyekana kila alichokiandika mwenyewe!

Huyu mzee si aliwahi kuwa waziri mkuu,mababu huwa wananisimulia,je akiwa waziri mkuu kipi alifanya cha kumfanya japo tumkumbuke?
 
Hiyo ya kuniita hivyo jumatatu hii imenipa hamasa.
Hata ukiangalia hilo kusanyiko ni kama watu walikuwa wamewekwa mahali kwa ajili ya kupinga kitu fulani;
..........Inawezekana ana watu wengi wanaomkubali ila watazidiwa nguvu na dola;

Darling Mamndenyi huyu mzee hakubaliki na nani? Au una maana kile kikundi kidogo kilichoongozwa na Makonda? Hebu kuwa mkweli, mbona mdahalo ulianza vizuri sana na kila alichosema kilionekana kueleweka na washiriki ila baada ya kumzungumzia Mwl Nyerere na unafiki wa viongozi ndio wakaibuka wale washenzi?
 
hao vijana walioleta fujo ni wasaliti na maadui wa taifa. kama serikali haitawachukulia hatua, si wanaonekana kwa sura, wanajulikana tunao huku mtaani, kwanini tusiwafuate hukuhuku mtaani tuwale kabang ili iwe fundisho kwa vijana wengine wanaotumiwa? nchi hii ya kipumbavu sana.

Huna authority
 
Back
Top Bottom