zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
warioba anatetea na kuelimisha watatnzania kuhusu katiba yenye usawa wa rasilimali za nchi kwa kila mwananchi, katiba yenye usawa na haki ya kupata elimu bora kwa kila mwananchi akiwemo mtoto wako aliyekosa mkopo bodi ya mkopo kwasababu ya kukosekana usawa unaotafutwa wee mama muuza mwili Lumumba.Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?