Unajua fiji imeanza kubadilishwa na huo ni mpango wa waingereza,walipeleka malaki ya wahindi weupe huko ili wazaliane wachukue visiwa hivyo.leo nusu ya WARUFIJI nadhani "umenielewa" ni baniani.Pia kuna hawa wa visiwa vya FIJI inasemekana pia asili yao Tanganyika, walitokea mwambao mwa ziwa Tanganyika hadi wakafika Atlantic Ocean. Wao wataView attachment 429979 miili mikubwa ya Kiafrica hasa, ila bado huwezi wakuta weusi kabisa kama sisi. Hata ukimkuta mweusi tii basi nywele zake za kishobe kidogo. Hata neno FIJI wanasema linatokana na nene VITI.
Maji yalizidi unga magonjwa yakawaandama huwezi kufikiria mara mbili ni kutoka nduki tu ukajipange upya nadhani ndicho walichofanya pana mengi yamejificha ambayo bado hatuyajui.Mkuu walikuwa hawajui wanakoenda ilikuwa ni survival,kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya navigation skills.
Kama immigration yao ingetokana na utumwa ni dhahiri wangekuwa wamejichanganya na jamii nyingine walizo zitumikia,, swali la kujiuliza mbona ni jamii iliyojitenga kijiografia, kitamaduni n.kEarly Long Distance Trade kati ya Mashariki ya Mbali(china , India, et el na waajemi, hao walikuwa watumwa wa awali kabisa
Hao wa karibu na Igunga ni wataturu wakali sana hao jamaa sidhani kama maasai anawafikia labda siku hiziWahadzabe wa hapa kwetu bado wanatembea uchi pia. Mwaka 2011 sikumbuki kijiji hasa lakini ni karibu na Igunga na kabla ya kufika Singida niliwahi kuona wadada wametoka kuchota maji wameva kiasili kabisa na juu hawajavaa kitu matiti yako wazi. Na pia miaka ya tisini niliwahi kuona wasichana wa kikurya waliotoka kutahiriwa wakicheza ngoma huku wakiwa hawajavaa kitu chochote juu. Haya mambo bado yapo humu humu nchini mwetu Serikali nyingi huwa zinaheshimu mila na desturi za hayo makabila (minorities)
Si mchezo tena hawa ni pure afrikans.........inabidi tukawadai kama tulivyowadai wale vyura wa kihansi watupe watu wetu sio kuwageuza manyani maana wahindi ni wabaguzi sana.....
Duh......aiseee ndio maana mzungu alishindwa kuvumilia akagegeda m'mojawapo............maana wadada wa hii jamii shepu ni za kitukuyu kabisa hizi.....
Hapa ni kupeleka msaada wa tani za karanga na mihogo mibichi za kutosha ili wazaliane na waongezeke kwa wingi na kama haiwezekani basi vidume tunyatie tukapige mzigo hadi tuache kila demu anakula maembe mabichi......
Teh..teh..teh uwezo kufikiri unapogonga feni😀Na mimi nimepata shida hiyo mkuu.Ikiwa alimaanisha miaka 60 elfu iliyopiya ina maana ni kabla hata Yesu hajazaliwa.
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation
mkawapelekee na gono, na kila kitu teh teh...wao sidhani kama wana kondomsHapa ni kupeleka msaada wa tani za karanga na mihogo mibichi za kutosha ili wazaliane na waongezeke kwa wingi na kama haiwezekani basi vidume tunyatie tukapige mzigo hadi tuache kila demu anakula maembe mabichi......
Je ni binadamu kama sisi?Andamans na San people (Saan au Bushmen) lile kabila la South Africa/Namibia wanashabihiana sana. Ni jamii za watu ambao hawana contact na watu wengine, primitive kweli kweli na DNA zao zina information nyingi kuhusu binadamu.
Kama ilivyo kwa Andamans hawapigi watoto, wana upendo, wanapenda kukumbatiana wao kwa wao na kwa sababu hawana contact na watu wengine wakiona wageni wanashangaa au kuwafukuza kabisa ndiyo San people walivyo pia. Kuna uncontacted society kwenye misitu ya Amazon Brazil pia.
Hizi jamii zilindwe na zisiingiliwe katu, hata kwenda kutengeneza documentary kuhusu maisha yao tayari tunaharibu mfumo wao.
Ni binadamu kama sisi! Na kuhusu uwepo wa mungu wana amini huenda wanaamini vizuri kuliko wahindi wanaoamini masanamu alfu tatu.Je ni binadamu kama sisi?
Na je wanajua nn kuhusu Mungu?