Andamans na San people (Saan au Bushmen) lile kabila la South Africa/Namibia wanashabihiana sana. Ni jamii za watu ambao hawana contact na watu wengine, primitive kweli kweli na DNA zao zina information nyingi kuhusu binadamu.
Kama ilivyo kwa Andamans hawapigi watoto, wana upendo, wanapenda kukumbatiana wao kwa wao na kwa sababu hawana contact na watu wengine wakiona wageni wanashangaa au kuwafukuza kabisa ndiyo San people walivyo pia. Kuna uncontacted society kwenye misitu ya Amazon Brazil pia.
Hizi jamii zilindwe na zisiingiliwe katu, hata kwenda kutengeneza documentary kuhusu maisha yao tayari tunaharibu mfumo wao.