imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Watu wenye chuki mara nyingi ni watu wenye shule ndogo.hapa ndipo utagundua kwanini mwafrika anachukiwa sana duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye chuki mara nyingi ni watu wenye shule ndogo.hapa ndipo utagundua kwanini mwafrika anachukiwa sana duniani
shusha nondo mkuu uje wangali waafrika lakini wengi wetu wanauchukia uafrika na kuukumbatia uzungu,kunajama wanajiita PanAfricanism huwa wanatoaga mafact kuhusu hidden history ya mtu mweusi ,pia hata wale jamaa wa national geographic walisha wahi kutoa utafiti wa pharaoh mweusi na ndio alikuwa mdogo kuliko ma pharao wote walishawahi tokea
Hiki chuma cha chini kama namfananisha vile!Uasia ulianza kuonekana afrika zamani kabla ya uchina.View attachment 430935 View attachment 430936
Wameanza kukubali kiaina. Tazama mchoro huu wa farao tutmosis wa tatu, uafrika wake uko waazi.jamaa wa national geographic walisha wahi kutoa utafiti wa pharaoh mweusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utasema tukonzi.Matiti madogoooooo!
...hakika kuna haja ya makusudi kabisa kujivunia uafrika wetuHaya ndugu zangu "sub saharans" kama wanavyotuita tembeeni vifua mbele,wafundisheni watoto wenu kuwa sisi ndio waanzilishi acheni unyonge mungu ametupa historia nzuuri kabisa.