Until date Iran unafikiriwa kuwa nchi ya 3rd.Nini kinaifanya Iran kuwa Ulimwengu wa tatu?
Tukianza na Origin ya neno
During cold war
1st World- US and her allies, Iran alikuwa first world.
2nd World- Russia and her allies.
3rd World- Nchi zisizofungamana na upande wowote.
Baada ya Cold war, 3rd world imetumika kudescribe nchi zinazoendelea, neno sahihi likiwa ni " developing countries".
Iran imekwisha endelea, ni middle income country.
Kama unaweza ukawa na hoja kwanini unaiita Iran " 3rd world country" ?
Mataifa kama tanzania kupata bendera ni mpaka uwe na msuliWaandamanaji Nchi Ufaransa wanaimba Biden Hatutaki vitayako
Na Kusema Ufansa Ijiondoe Kwenye Nato ya Marekani
"Biden, we don't want your war."
Thousands of anti-war protesters took to the streets of Paris to denounce the US's proxy war in Ukraine and demand the withdrawal of France from the US-led NATO bloc.
View attachment 2566433
Na kiongozi anataftiwa sababu auliwe fasta sana. Na kufurushwa madarakani kwa aibuKifupi Wanasema Mkuki kwa Nguruwe Binadamu Mchungu
Hii dunia haipo sawa kabisa Usawa Haupo.
Haya yakitokea Africa Inakuwa ndio Mada topic 24/7
Haki za Binadamu Kimyaaa
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia
Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo. Vyombo vya habari vingi Vimenyamanza na Huwasikii kabisa Kuhusu hili tofauti na Yanapo tokea Kwingineko.
Hapa tutaweka Video,Picha na Taarifa ya kila kinacho tokea Ufaransa
Hii ni Mapigano kati ya Waandamanaji na Polisi yaani Piga Nikupige
VIDEO
View attachment 2566184
PICHA
Polisi walivyo wapiga Raia
View attachment 2566204View attachment 2566205View attachment 2566206
Na nani?Until date Iran unafikiriwa kuwa nchi ya 3rd.
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu
Ni vyombo vipi hivyo haviripoti wakati mimi ninaifuatilia maandamano kwenye vyombo unavyosema haviripoti.
Mnatia huruma..
Hii ni tbc ama itv?
Kwa hiyo maandamano ya Iran hayakuripotiwa na vyombo vya habari?
Iran ilisema nchi za Magharibi zinahusika na maandamano kwasababu nchi zote za Magharibi zilitoa tamko la kuunga mkono waandamanaji lakini mpaka sasa hatujasikia Iran ikiwaunga mkono waandamanaji wa ufaransa.
Waandamanaji wa Ufaransa wanataka Micro aondokeWaandamanaji wa Iran walikuwa wanataka kuondondaka na utawala wao wa kidikteta, Waandamanaji wa Ufaransa wana malalamiko ya Pensheni ya kuongeza miaka ya kustaafu kufanya kazi kutoka 62 hadi 64.
Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..Na nani?
Reasons?
Afu nishakwambia hilo neno "3rd country " linatumika kimakosa.....
Tumia developing......
Na mimi nimekujibu Iran haijawahi kuwa third world country.......Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..
Mimi nimesema hadi sasa Iran inachukuliwa kuwa nchi ya ulimwengu wa 3.. so, wewe unaepinga pindua Meza kwa kusema kinyume na dai langu .
Nb: Misa unaendelea, njoo tujumuike.
Sasa mbona wanawapiga tena wakati wanatumia uhuru wao wa kidemokrasia kudai haki yao?Waandamanaji wa Iran walikuwa wanataka kuondondaka na utawala wao wa kidikteta, Waandamanaji wa Ufaransa wana malalamiko ya Pensheni ya kuongeza miaka ya kustaafu kufanya kazi kutoka 62 hadi 64.
Iran upo kwenye nchi za ulimwengu wa kati iko kwenye kundi moja na akina Uturuki, Israel, Malasia, Indonesia, Brazil ......Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..
Mimi nimesema hadi sasa Iran inachukuliwa kuwa nchi ya ulimwengu wa 3.. so, wewe unaepinga pindua Meza kwa kusema kinyume na dai langu .
Nb: Misa unaendelea, njoo tujumuike.