Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Waandamanaji Nchi Ufaransa wanaimba Biden Hatutaki vitayako
Na Kusema Ufansa Ijiondoe Kwenye Nato ya Marekani

"Biden, we don't want your war."

Thousands of anti-war protesters took to the streets of Paris to denounce the US's proxy war in Ukraine and demand the withdrawal of France from the US-led NATO bloc.

Nini kinaifanya Iran kuwa Ulimwengu wa tatu?
Tukianza na Origin ya neno
During cold war
1st World- US and her allies, Iran alikuwa first world.
2nd World- Russia and her allies.

3rd World- Nchi zisizofungamana na upande wowote.
Baada ya Cold war, 3rd world imetumika kudescribe nchi zinazoendelea, neno sahihi likiwa ni " developing countries".
Iran imekwisha endelea, ni middle income country.
Kama unaweza ukawa na hoja kwanini unaiita Iran " 3rd world country" ?
Until date Iran unafikiriwa kuwa nchi ya 3rd.
 
Waandamanaji Nchi Ufaransa wanaimba Biden Hatutaki vitayako
Na Kusema Ufansa Ijiondoe Kwenye Nato ya Marekani

"Biden, we don't want your war."

Thousands of anti-war protesters took to the streets of Paris to denounce the US's proxy war in Ukraine and demand the withdrawal of France from the US-led NATO bloc.

View attachment 2566433
Mataifa kama tanzania kupata bendera ni mpaka uwe na msuli
 
Kama vyombo vya habari vimenyamaza wewe umezipata wapi hizi habari zako??
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia

Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo. Vyombo vya habari vingi Vimenyamanza na Huwasikii kabisa Kuhusu hili tofauti na Yanapo tokea Kwingineko.

Hapa tutaweka Video,Picha na Taarifa ya kila kinacho tokea Ufaransa

Hii ni Mapigano kati ya Waandamanaji na Polisi yaani Piga Nikupige
VIDEO

View attachment 2566184

PICHA
Polisi walivyo wapiga Raia
View attachment 2566204View attachment 2566205View attachment 2566206
 
Kama vyombo vya habari viko kimya wewe umezipata wapi hizi habari??
Lipia king'amuzi chako upate habari za hayo maandamano, zipo kwenye vyombo vyote vya habari vya kimataifa BBC, DW, Al jazeer, Reuters n.k
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu
 
Waandamanaji wa Iran walikuwa wanataka kuondondaka na utawala wao wa kidikteta, Waandamanaji wa Ufaransa wana malalamiko ya Pensheni ya kuongeza miaka ya kustaafu kufanya kazi kutoka 62 hadi 64.
Kwa hiyo maandamano ya Iran hayakuripotiwa na vyombo vya habari?

Iran ilisema nchi za Magharibi zinahusika na maandamano kwasababu nchi zote za Magharibi zilitoa tamko la kuunga mkono waandamanaji lakini mpaka sasa hatujasikia Iran ikiwaunga mkono waandamanaji wa ufaransa.
 
Hapa sio Kiev Makombora ya Urusi yakipiga
Hapa ni Paris Polisi wakipiga Raia wanao Andamana
 
Waandamanaji wa Iran walikuwa wanataka kuondondaka na utawala wao wa kidikteta, Waandamanaji wa Ufaransa wana malalamiko ya Pensheni ya kuongeza miaka ya kustaafu kufanya kazi kutoka 62 hadi 64.
Waandamanaji wa Ufaransa wanataka Micro aondoke
Na Kikubwa nikuwa maandamano Ni maandamano iwe Iran au Ufaransa
je Kwanini Hatusikii matamko juu ya Serikali ya Ufansa kwa inacho kifanya kwa Raia wake?
 
Na nani?
Reasons?
Afu nishakwambia hilo neno "3rd country " linatumika kimakosa.....
Tumia developing......
Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..
Mimi nimesema hadi sasa Iran inachukuliwa kuwa nchi ya ulimwengu wa 3.. so, wewe unaepinga pindua Meza kwa kusema kinyume na dai langu .
Nb: Misa unaendelea, njoo tujumuike.
 
Taarifa zinasema Ufaransa Inatumia Nguvu Kubwa Kupambana na Waandamanaji
France Slammed For ‘Excessive Force’ Against Protests

The French government has used disproportionate force against demonstrators protesting pension reforms in violation of their freedom of assembly and expression, Council of Europe Commissioner for Human Rights

Dunja Mijatovic claimed.

Mijatovic described the circumstances of the pension protests as “concerning,” adding that “sporadic acts of violence by some demonstrators or other reprehensible acts committed by others during a demonstration cannot justify the excessive use
 
of force by state agents.”

While some “violence” has taken place, including against police, they are “not sufficient to deprive peaceful demonstrators of enjoying the right of freedom of assembly,” she said, adding that the French authorities must protect peaceful protesters.
 
Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..
Mimi nimesema hadi sasa Iran inachukuliwa kuwa nchi ya ulimwengu wa 3.. so, wewe unaepinga pindua Meza kwa kusema kinyume na dai langu .
Nb: Misa unaendelea, njoo tujumuike.
Na mimi nimekujibu Iran haijawahi kuwa third world country.......
Kuanzia matumizi sahihi ya neno third world country mpaka hii ya saiv inayotumika kuwakilisha maendeleo ya nchi husika.
Wewe unayesema hivyo uniambie ni kwanini uone iran ni 3rd country.
Reasons.........
 
Sipendi mijadala inayojengwa katika mtindo wa derailing..
Mimi nimesema hadi sasa Iran inachukuliwa kuwa nchi ya ulimwengu wa 3.. so, wewe unaepinga pindua Meza kwa kusema kinyume na dai langu .
Nb: Misa unaendelea, njoo tujumuike.
Iran upo kwenye nchi za ulimwengu wa kati iko kwenye kundi moja na akina Uturuki, Israel, Malasia, Indonesia, Brazil ......
 
Back
Top Bottom