Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Kuna watu wanashindwa kujua kuwa Nape kuchukia kwake ni hatari sana kwa hilo chama lao hasa kwa wakati huu. Nape anajua siri nyingi za chama chao kama ajuavyo Kinana na JK na ukweli ni kuwa sizonje hamfikii hata nusu Nape katika kukijua chama.
Ndio maana hana hofu na sizonje na atamtwanga mpaka basi na kumfukuza chama hawawezi
 
anajua kuwa anasubiria kuwekwa ndani yeye na mwenzake mmoja kwa madawa mda ndo mwalimu mzuri tusubirie
Siku hizi ukiipinga au kuikosoa serikali unaitwa:
1. Muuza madawa ya kulevya
2. Fisadi
3. Mpiga dili a.k.a jipu
Hizo single zinachuja. Ni matusi makubwa kwa jamii kila anayekosoa kihalali kabisa kutukanwa matusi ya aina hiyo.
Hasira ya jamii mtakuja kuibeba wenyewe.
 
Analia na mengi,
Juhudi zote alizozfanya kuhakksha fisiem inarud madarakan af amekuwa treated as if yeye si kitu,

Analia kujionea huruma maana anazidi kuharibu,

Analia ametukosea sana waTz

Analia anaona mbele kuna mambo mazito yanakuja.....

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Kaka nape poleh ndugu yangu.

[HASHTAG]#moyomweupe[/HASHTAG]
 
tukipewa majibu ya maswali yote hayo ya ukweli na kwa usahihi !...........
 
Hiyo # 5 roma anachechemea
 
Aende bongo movie asituzingue hapa
CCM imetawala miaka nenda rudi na bado tuna matatizo kibao.
Nape analilia uwaziri wake aliopokonywa si vinginevyo
 
Nani asiyeupenda uwaziri, lile gari kubwa na mbwembwe kibao...acha alie tu maana kapokonywa tammm
 
Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wanasiasa wa CCM wakilia hadharani pale wanapokoroga mambo na kubanwa kwa hoja na kupelekea kubembelezwa kama watoto wadogo.Tuliona waziri mkuu mmoja akilia bungeni baada ya kutoa kauli ya kuvunja ya kutaka watuhumiwa wa mauaji ya albino wauwawe hadharani! Bashite naye alitoa mpya kwa kumwaga michozi pale alipobanwa kisawasawa na watanzania aonyeshe vyeti. Yeye badala ya kutoa vyeti akakimbilia kanisani kulia.Nape naye huko jimboni kwake mtama alilia kama mtoto mdogo na kubembelezwa na wana wake kisa kafukuzwa uwaziri.Nawauliza wanasiasa wa CCM hamuwezi kuwa na ngozi mgimu kama wanasiasa wa upinzani pale mnapopatwa na masaibu? Hivi yakiwapata yaliyowakuta,Lema,Lijualikali,Mbowe,Lissu Mathew na wanasiasa wengine wa upinzani wanaosukwasukwa kila siku na Polisi,TRA,uhamiaji,NHC,maDC,maRC na TISS si mtakufa nyie?Hivi machozi mnayolia ni ya kweli au ni machozi ya mamba?
 
Usijifanye kusahau, Lissu mbona pia alilia hadharani, muda si mrefu uliopita ! Je yeye naye ni CCM ?! Unafiki haulipi !
 
Kulia ni Childish Problem Solving Approach (CPSA)
 
""""" akupigiae ngumu ya kijicho nawe mpige ya sikio .....akikuuliza unaonaje nawe muulize unasikiaje"""""
 
Hahahahahahahahahahahah vijana wa ufipa wanapambana lakini kwenye nafasi za kugombea mwenyekiti anakuja na majina ya Wagombea mfukoni
Kama vile mwenyekiti wako Kikwete alikuja na jina la Membe mfukoni hata kumbukumbu huna bangi sinakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…