Kichwa chako hakifikiri vzr wewe..Nape anajua siri za chama kuliko Lowassa na Sumaye?Kuna watu wanashindwa kujua kuwa Nape kuchukia kwake ni hatari sana kwa hilo chama lao hasa kwa wakati huu. Nape anajua siri nyingi za chama chao kama ajuavyo Kinana na JK na ukweli ni kuwa sizonje hamfikii hata nusu Nape katika kukijua chama.
Ndio maana hana hofu na sizonje na atamtwanga mpaka basi na kumfukuza chama hawawezi
Kichwa chako hakifikiri vzr wewe..Nape anajua siri za chama kuliko Lowassa na Sumaye?
Toka uanze kusikia siri zooote za mabaya ya ccm umeshawahi kuchukua hatua yoyote??? au watanzania wangapi walishachukua hatua..kuna mtu anaweza mpita Augustino Mrema kwa vle alijitolea kwa nchi hii na bado watz hao hao wanamkejeli, unawajua watz kweli..kaimbe taarabu wewe kuliko kupoteza muda hapa.Kuna watu wanashindwa kujua kuwa Nape kuchukia kwake ni hatari sana kwa hilo chama lao hasa kwa wakati huu. Nape anajua siri nyingi za chama chao kama ajuavyo Kinana na JK na ukweli ni kuwa sizonje hamfikii hata nusu Nape katika kukijua chama.
Ndio maana hana hofu na sizonje na atamtwanga mpaka basi na kumfukuza chama hawawezi
Kaulize wajinga wenzio lbd kwa hili watakuelewesha, katibu mwenezi wa chama ni mkubwa kimadaraka kuliko waziri mkuu na kiongozi wa chama bungeni..Tumia akili wewe! Sumaye na Lowassa wamewahi kushika nafasi za juu za chama kama Nape? Au hujui nisemalo?
tusubirie miaka ya raising wetu ipiteSiku hizi ukiipinga au kuikosoa serikali unaitwa:
1. Muuza madawa ya kulevya
2. Fisadi
3. Mpiga dili a.k.a jipu
Hizo single zinachuja. Ni matusi makubwa kwa jamii kila anayekosoa kihalali kabisa kutukanwa matusi ya aina hiyo.
Hasira ya jamii mtakuja kuibeba wenyewe.
Kwa kuwakanyaga migongoni baadhi ya wanawake, je aliwakanyaga wanawake woteHana akili huyo, mtu na akili zako timamu huwezi kuwapanda mama zako wakubwa kwa wadogo migongoni, alifanya kosa kubwa sana lililomtia doa.
Yupo mmoja nilisikia analalamika alivunjwa mgongo na Nape amejikausha hataki kumsaidia, mimi nikawaona wote wajinga..Kwa kuwakanyaga migongoni baadhi ya wanawake, je aliwakanyaga wanawake wote
nchini?
Hivi Leo huyu mnafiki anapata wapi ujasiri wa kutoa somo kuhusu heshima na staha?
Nape anajulikana ana mdomo mchafu sana.Halafu, kwenye hiyo picha yake anatucheka.😂
Huu ni udhalilishaji alipaswa akamatweFlashback: 2017...
Mbunge wa Jimbo la Mtamba Nnape Mnauye ameeleza kuwa kitendo cha yeye kutembea akiwa juu ya migongo ya wanawake wa Jimbo hilo ni ishara ya heshima kubwa aliyopewa.
Nape ameeleza kuwa angekataa angetoa ishira ya Dharau na kwamba isingewezekana na kukataa.
Now: 2023!
Nape Nnauye: Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania!
Si kukamatwa tu.Na kufungiwa "kabatini" angalau miezi sita bila hata kumchukua maelezo.Huu ni udhalilishaji alipaswa akamatwe