Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Wanaoumbuka ndio wanaonyooka.
 
Nape became the fallen soldier in CCM
 
Wantanzania leo munamwita Nape kuwa alikuwa jembe kaw lipi alilolifanya tangu amekuwa mwanasiasa?
Moja ya watu ambao ni mizigo kwa ccm japo walibebeka sana.
Kafanya nini jimboni kwake cha kujivunia kwetu sisi wananchi wake tuliomchagua?
 
Kila jambo lina mwisho! Ila mengine mwisho wake ndio mwanzo wa jingine zuri. Nape: ili mbegu ya nafaka iote lazima ioze kwanza
 
Wapinzani jiandae kushika dola otherwise mambo ni mabaya mbeleni
 
Kazi ya wauza madawa ya kulevya ni kujipa moyo kama hivi
 
"Tulipigana tukiamini Tanzania iko salama chini ya Chama Cha Mapinduzi, bado nina amini Tanzania bado itakuwa salama kama Watanzania hususani vijana watasimama kusema ukweli, akikosea mtu hata awe mkubwa mpaka Mbiguni akikosea lazima aambiwe ukweli" Nape Nnauye

Idadi ya wanaomtolea uvivu dikteta uchwara inazidi kuongezeka tu. I hope hii trend itazidi kushamiri na huyu jamaa kukosa support kabisa ya kuendelea kuwa Rais wa nchi kama akiamua kuendelea na udikteta uchwara wake wa kudharau Bunge na katiba na pia kutotaka kumsikiliza yeyote yule kwa sababu tu ana Phd yake uchwara ya kubangua korosho hivyo kujiona anajua sana kuliko yeyote yule nchini.

Alutta continua! continua!

 
 
Sipati picha vikatuni vya kesho mkulu atakavofura hasira!
 
Kupiga au kutopiga makofi sio kipimo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…