Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Nape, bashite na kaka yao wote Damn!!
Wantanzania leo munamwita Nape kuwa alikuwa jembe kaw lipi alilolifanya tangu amekuwa mwanasiasa?
Moja ya watu ambao ni mizigo kwa ccm japo walibebeka sana.
Kafanya nini jimboni kwake cha kujivunia kwetu sisi wananchi wake tuliomchagua?
 
We ndo una chuki binafsi na mkulu, Lowasa alivyojiuzuru alitandikiwa zuria jekundu, Kitwanga alivyotumbuliwa kwao walimpokea kama shujaa, Nape tu kupokelewa hivyo ndo wamemchoka Mkulu?
"Mabadiliko yanapotokea, huwakuta wengine wakiwa usingizini na wanaposhituka, huwa teyari kumekucha."

Ndugu yangu toka usingizini ushuhudie mabadiliko yasije yakakushitukiza.
 
mapokezi si alijiandaa ulitegemea iweje. katumbuliwa katumbuliwa tu akajifunze upya kuheshimu wakubwa zake wa kazi
Alikuwa na heshima kwa boss wake alichofanya alikuwa anatekeleza majukumu yake ila kwa sababu ya double standard kuwa ni kawaida katika gov. ya sasa ndiyo kilichomkuta
 
Wantanzania leo munamwita Nape kuwa alikuwa jembe kaw lipi alilolifanya tangu amekuwa mwanasiasa?
Moja ya watu ambao ni mizigo kwa ccm japo walibebeka sana.
Kafanya nini jimboni kwake cha kujivunia kwetu sisi wananchi wake tuliomchagua?
Hivi wabunge kama hawa hawaoni uchungu kwa kuwatapeli wana nchi wao? Ni aibu tosha kabis!
 
Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?

Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.

Mtanyooka tu

Jitahidi mama uteuzi bado upo
 
Alikuwa na heshima kwa boss wake alichofanya alikuwa anatekeleza majukumu yake ila kwa sababu ya double standard kuwa ni kawaida katika gov. ya sasa ndiyo kilichomkuta
huwezi pishana kiswahili na boss hadharani . ndiyo tumefundishwa hivyo
 
Wangapi walijua kuwa Mwakyembe baadae angekuja kuwa Senior Minister wa Jk wakati ule wa 2008 kwny Scandle ya Richmond ?

Weka Akiba ya Maneno

2007 Nape alikatwa kwny Mchujo wa Uenykt UV-CCM na alipojaribu kukata Rufaa Katibu Mkuu wa Chama Mzee Makamba akamwambia rufaa yako imefungwa Mbinguni na Ardhini lakin Miaka minne baadae akawa Bosi wa Mzee Makamba.

Siasa hazina' Mtabiri wa Hali ya hewa 'we tembea na Mwamvuli tu Muda wote inaweza kunyesha.

sawa atakuwa rais

ila kesho kabishane na bosi wako uone itakuwaje
 
Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?

Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.

Mtanyooka tu
Mtaisoma namba 2020 ushindani utakuwa sio wa kitoto.
 
Huyo dada nahisi kuna namna ameweka alert thread ikianzishwa huyoo keshajibu fasta...

yuko Fasta kumshinda Bashite mwenyewe
Nafikiri anashika rekodi ya vichaa waliowehuka hapa jf iyo ng'ombe inachonikera haielewi hata inaandika nn sijui inalipwa sh ngapi kujidhalilisha .
 
Analia ccm ashamkosea bosi wake na ukawa hawezi kwenda alimtukana sana lowasa
Dilemma
 
NDIO KIFO TARATIBUUUU CHA CCM KWANI HAMJUI?UKIONA VITA KUU MBINGUN UJUE UKUU NA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA
 
Back
Top Bottom