Huyu bwana akiendelea hivi ni wazi 2020 atakataliwa vibaya sana sio na wafuasi wa vyama vya upinzani tu,bali hata wana-CCM wenzake.
Huyu mh. asiposoma alama za nyakati na kujirekebisha,anaweza kuambulia asilimia 40 ya kura zote zitakazopigwa na hata asilimia 35 kabisa.
Ule umati mkubwa uliojitokeza ulikuwa unatuma salam kwake kuwa mbunge wao ni shujaa na zaidi hakutendewa haki.Hii ni dalili mbaya sana kwa mkulu.
Narudia,Bashite ana play role ya Mohamed Bouazizi ya kuleta mabadiliko ya kiutawala nchini kama ambavyo Bouazizi alivyokuwa chanzo cha mabadiliko nchini kwake Tunisia na baadae katika ulimwengu wa nchi kadhaa za kiarabu.
Bahati mbaya sikio la kufa halisikii dawa.
Time will tell.