"Tulipigana tukiamini Tanzania iko salama chini ya Chama Cha Mapinduzi, bado nina amini Tanzania bado itakuwa salama kama Watanzania hususani vijana watasimama kusema ukweli, akikosea mtu hata awe mkubwa mpaka Mbiguni akikosea lazima aambiwe ukweli" Nape Nnauye
Idadi ya wanaomtolea uvivu dikteta uchwara inazidi kuongezeka tu. I hope hii trend itazidi kushamiri na huyu jamaa kukosa support kabisa ya kuendelea kuwa Rais wa nchi kama akiamua kuendelea na udikteta uchwara wake wa kudharau Bunge na katiba na pia kutotaka kumsikiliza yeyote yule kwa sababu tu ana Phd yake uchwara ya kubangua korosho hivyo kujiona anajua sana kuliko yeyote yule nchini.
Alutta continua! continua!