dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Eti mtu ajiundie tume!? Cjaelewa tafsili yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku hizi mtu wa kumshikia akili hayupo, tunajua nyeusi na nyeupe, wewe teteaaaaaa saaaana pondaa sana kwa wanaotaka haki itendeke, mwisho ukweli haubadiliki hasa kwa huyo umteteaeAcha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?
Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.
Mtanyooka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kufananisha uchi na vitu vya kijinga!
Wee ukiambiwa uwe hanithi ili uwe Waziri wa habar utakubali?
Alikuwa analipwa kwa kazi hiyoHuyo halilii madaraka,anauchungu namna alivyotendewa na mwenyekiti wa chama ..Hasa alipokumbuka nikiasi gani alipigania chama chake uchaguzi ulo pita 2015.. mungu akutangulie Nape..Umepigana vilivyo..Tunaojua ulifanya yaliyo makuu kwa kusimamia haki..Tuna sema you are a hero..God protect you....
Tena pesa nyingi tu hadi akawaambia wafuasi wa lowasa kuwa anawapa millioni 5 pale pale lowasa akiongea dk 15..INA maana hiyo ni pocket money tu aliyokuwa anatembea nayo.. Si kwamba alikuwa muajiriwa wa serikali au binafsi au mfanyabiashara..ni mpiga domo tu wa chama ana pocket ya zaidi ya mill 5.. TehAlikuwa analipwa kwa kazi hiyo
Tanzania bila CCM inawezekana.ha ha ha haaa tanzania bila ccm inawezekanaaaa
Acha kuchochea, karudi jimboni kwake ulitegemea iweje!?
Tena hao mbona sio wanamtama wote. Ungeona wenzake wa CCM waliokaa meza kuu, walivyokuwa hawampigii makofi kwa mengi aliyoongea ndio ungejua kuwa anachemka na leo kajionyesha zaidi kuwa ni mtu hatari wa mabaya.
Mtanyooka tu
Usidhani kwamba kila anayepigania haki na usawa kwa mujibu wa katiba ya nchi ni wa kambi ya upinzaniNyie bavicha ni vituko sana, hivi kwenye jimbo lake mlitegemea wawe watu kumi kumpokea?
HUYO house girl wakeHuyo dada nahisi kuna namna ameweka alert thread ikianzishwa huyoo keshajibu fasta...
yuko Fasta kumshinda Bashite mwenyewe
Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-came na emotions huko kwao, sijajua ni V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi......
Wantanzania leo munamwita Nape kuwa alikuwa jembe kaw lipi alilolifanya tangu amekuwa mwanasiasa?
Moja ya watu ambao ni mizigo kwa ccm japo walibebeka sana.
Kafanya nini jimboni kwake cha kujivunia kwetu sisi wananchi wake tuliomchagua?