Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Hivi ccm wanatuombaje samaki wakati wananyavu za kuvulia?.. kmkm zao.
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.

Wewe kweli ni redio tena Mbao
 
Mimi hata sielewi hao CCM watashindaje hapo.

Kuna kila dalili za kuamini kuwa huyu polisi hamjui Mbowe. Yeye kalishwa matango pori na CCM anakuja kutapika uchafu wake ovyo mbele ya camera kama mjinga fulani hivi.

Itakuwa ni kichekesho cha mwaka mgombea yeyote wa CCM jimbo la Hai kumshinda Mbowe.
 
Nadhani salute uondoa ufahamu hivi unapata wapi moyo wa kutetea chama kilichokuzulumu haki yako ya nyongeza za mishahara.
Hawa wanaoishi kwa kutegemea Hadi wake zao wauze vitumbua ndio wale lakini ndio wa kwanza kuisapoti CCM utadhani wamerogwa
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Yaani akili za MATAGA, ndio huwa zinafanya waafrika wote tuonekane kama tuna ubongo wa sisimizi!! Na viumbe wa ajabu kuwahi kuwepo duniani!! Kweli kwa mtu mwenye akilo timamu unaweza unga mkono maneno ya huyo OCD? Akiwa kwenye sare yenye bendera ya taifa?!!
 
OCD kada ametumwa na Sabaya aliyewekwa kwa kazi maalumu ya kumdhibiti Mbowe
 
askari wengi hawana akili. jitu zima limevishwa nguo za heshima na mamlaka ila kichwani mavi tu
 
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.

Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu..

Ingetolewa na Tume yaani NEC tungeshangaa, lakini kauli ya polisi haina shida kwani wao sio wasimamizi wa uchaguzi badala wanasimamia usalama.

Kwa hiyo majibizano ya Mbowe na OCD mbona safi tu ni kama vile TUNDU anavyotukana na kubeza jitihada za Magufuli. Hapo ni vita ya kisaikolojia
 
OCD atapewa Lawama bure tu.

Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"

Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.

Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!

Angesema tu kuwa hawammebi. Kuwa wao hawashabikii mtu.

Amandla...
 
ingawa mm ni ccm, ila yupo mgombea mmoja wa cdm! kiukweli kampeni zake za kistarabu sana, na ningependa kumwona kwenye bunge linalokuja



mpaka sasa, kidogo aliefanya kampeni kistarabu huyu dada!
Binti mdogo anatoa somo la uugwana wa siasa.Mkuu fungua uzi kwa hili tujifunze zaidi.
 
Huyo OCD ni msemaji wa wananchi?


Hii inaonyesha kwamba Afande Sirro bado ana kazi ya zaida ya kuwa elimisha/contain maafisa ambao wako chini yake - OCD anajuaje in advance kwamba Mbowe hatashinda kinyanganyilo cha ubunge wa HAI? Angalia body language yake anapo mnanga Mbowe - OCD anaokena wazi wazi kuna kitu anajiamni si bure- OCD wa Hai akumbuke kwamba kazi ya Polisi ni kulinda usalama na amani na sio kuhubiri masuala ya siasa.
 
Binti mdogo anatoa somo la uugwana wa siasa.Mkuu fungua uzi kwa hili tujifunze zaidi.

comments zote hakuna aliempinga, hadi ccm wamenyooshea mikono! sasa hizi ndio siasa nzuri,
 
Back
Top Bottom