This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Naona magonjwa yamepamba moto.Kwani kasema uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona magonjwa yamepamba moto.Kwani kasema uongo?
Nimetukana sana nilikimbilia chooni watoto wasinisikieKatika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai...
Kivipi?Naona magonjwa yamepamba moto.
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Ni uwongo mimi niko Hai milimani huyo Saashisha Mafuwe hawezi kushinda kihalali kwakuwa niko na wapiga kura hukuKwani kasema uongo?
Mbona jana amesoteshwa masaa 9 jua lake na mbu pia!
Yale yale, unalaumu wenzako, wewe ukiwa umejificha.Sis watz ni waoga mnooooooooooooo, huyo ocd uchwara alipaswa kushikishwa adabu ila kwa kuwa uogaaa umezidi wananchi tunaangalia tu.
Yaani akili za MATAGA, ndio huwa zinafanya waafrika wote tuonekane kama tuna ubongo wa sisimizi!! Na viumbe wa ajabu kuwahi kuwepo duniani!! Kweli kwa mtu mwenye akilo timamu unaweza unga mkono maneno ya huyo OCD? Akiwa kwenye sare yenye bendera ya taifa?!!Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.
Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu..
OCD atapewa Lawama bure tu.
Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"
Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.
Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!
Binti mdogo anatoa somo la uugwana wa siasa.Mkuu fungua uzi kwa hili tujifunze zaidi.ingawa mm ni ccm, ila yupo mgombea mmoja wa cdm! kiukweli kampeni zake za kistarabu sana, na ningependa kumwona kwenye bunge linalokuja
mpaka sasa, kidogo aliefanya kampeni kistarabu huyu dada!
Huyo OCD ni msemaji wa wananchi?
Binti mdogo anatoa somo la uugwana wa siasa.Mkuu fungua uzi kwa hili tujifunze zaidi.