Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tumia akili kidogo bwana Magembe kama utakuwa nayo basi!Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.
Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa CHADEMA ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.
Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa CHADEMA inashinda Urais.
Hoja sio ni uongo au ni ukweli bali msemaji anastahili kwa mujibu wa sheria kusema hayo?
Refa wa mchezo kati ya Simba VS Mwadui anaweza kujua moyoni kuwa Simba inaweza kuifunga Mwadui, lakini jee anaweza kubishana na Kapteni wa Mwadui hadharani kuwa "Mwadui kamwe haiwezi kuishinda Simba" wakati mechi haijaanza?