GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.

"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe

Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi walikua wanapita kila nyumba kuvunja milango kutafuta vijana wa kiume tuh. Yani kila nyumba wanavunja Milango wanawatoa wanaume kama unabahati unapigika na wanaondoka na wewe kwenda kituoni, vijana wengi wamefia kituo cha polisi, wenye bahati mbaya zaidi walikuwa wanapigwa risasi hapo hapo kwenye majumba yao. Askari wenye kiswahili cha bongo walikuwa wanapiga na kubeba vijana lakini wenye kuongea kama Kizanzibari walikuwa wanaua hapo hapo tena wanahakikisha ni risasi ya kichwa au kifua."

IMG_8622.jpeg
 
Duh..hii ni hatari sana IGP achana na huu ujinga unazidi kumuharibia rais na hizi clips zinawez kutumika kama ushahidi huko nje..tumieni akili kidogo basi.
 
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Kama wewe ni mzanzibar hongera lakini kama wewe ni mtu wa bara pole sana maana yake unatumika bila kujijua
 
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Huu mtaa ninaoishi ni kitovu cha biashara, na hakuna hata mmoja aliyeibiwa. Walioibiwa ni wachache Ila waliokufa ni wengi.
Polisi watoe ushahidi kwamba wote waliokufa Kwa kupigwa risasi ni vibaka na siyo waandamanaji.
 
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Ukinyimwa akili LAZIMA uwe aibu Kwa jamii kama wewe

Chanzo Cha maandamano Nini
 
Back
Top Bottom