GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Sharif Majini alikua ChawaZaidi yako na alipiga kabisa na dua ya watu waoomba Haki wafe ila mwisho wa Siku kalambwa shaba mbele ya mke wake
 
Hivi mnapodai wanamharibia Rais mna maana gani? Mnajuaje kama order haitoki huko juu ... Yeye mwnywewe yupo kimya na wala hajatoa pole kwa wafiwa wala kuomba radhi zaidi ya kuwaita wahalifu.
Moja ya kauli inayonikera ni hiyo ya mtu kumtetea kwa kusema kuna watu wanamuharibia utadhani yeye mtoto mdogo au ameonyesha kupingana na kile kinachofanyika. Shenzi kabisa.
 
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Uadui unaotengenezwa...utawagharimu wao zaidi!
 
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.

Upumbavu na uozo wa kufikiria.

Ni Sawa kumkamata mtu ambaye alihusika kufanya uharibifu, na kumchukulia hatua zinazostahili. Si sawa kukamata Watu indiscriminately, na kuwauwa. Hatuna utaratibu huo katika sheria zetu.

Kama una uchungu na upotevu wa mali anza kuwasema waliozima internet na Kusababisha upotevu wa zaidi ya billion 500. Au anza na huyo mama yenu anayenuka rushwa na ubadhirifu wa matilioni ya pesa za umma.
 
Hii video nimemtumia yule mwamba wa CNN ili aijumuishe kwenye ripoti yake dunia ijue polisi wa zanzibar walichowafanyia watanganyika.
Una ushahidi wowote kwamba ni police wa Zanzibar?
Kwanza eleza nani police wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom