ndo maana kabla ya haya yote mliambiwa jamani pakichafuka apa wote lazima kitukute, mlichagua njia ya fujo na mlichokutana nacho ndo madharaMkiulizwa mnapata faida gani na familia zenu kwenye huu mfumo wa mauaji,utekaji, wizi, kesi fake and all undemocratic nonsense, una jibu au? Siku wakikupitia akili itarudi na kumbuka kuna waliopigwa risasi wakitoka kuipigia kura CCM
Shida wewe mwenyewe ni mdini na ndio maana unaishia kufikiri kwamba wenye kumkosoa na kumpinga Samia hakuna ambao ni waislamu kwamba wote ni wasio waislamu.Una shida ya kuelewa mantiki?..nilisema kinachowasumbua kwa Samia udini,nikakwambia upinzani dhidi ya Samia ulianza baada ya suala la bandari kwa mwarabu
Kabla hajachukua mwarabu bandari hivyohivyo ilikua chini ya muwekezaji ticts kwa miaka 25 na TEC hawakutoa tamko
Nyuma kidogo warioba alidai teuzi Zina harufu ya udini na Kawa staunch criticizer utawala wa Samia,hakuwa hivyo kwa magufuli
Kuna askofu alidai rais anavaa ushungi kama muuza vitumbua
Huwezi sema upinzani haujengwi na dini
Sidhani kama kuna rais hapa Tz ambaye katika utawala wake hakukuwa na tuhuma za udini ila pamoja hayo hilo halijawahi kuwa ndio hoja ya msingi watu kumkosoa au kumpinga huyo rais, ila leo hii Samia kupingwa hoja ya udini ndio inafanywa sababu kuu kana kwamba huyo Samia ni muislamu saaana au sijui kawafanyia nini kikubwa hao waislamu hapa Tz kuzidi imani zengine.Umeona eehh....yaani huyu maza watu tulijua atakuja kua bonge la kiongozi,kumbe ni shaitwaan mmaridi yeye na genge lake kule juu,kiongoiz asipingwe kisa udini wanaweka udini mbele kisa maslahi yao binafsi tu
Hana huo uislam wanaousemea zaidi ya jina tu la kiislam huyo mama ,ukute hata ibada kwake sio kipaumbele na kwa haya yalotokea nadiriki kusema huyu mama hana dini,hana Mungu, ni mushriki tuuu ndio ana uwezo wa kua na kibri km hicho
Nimeomba nyaraka za kichungaji kupinga kubadili mkandarasi wa reli toka exim bank china wa bei rahisi hadi mturuki wa bei ghali,nimeomba nyaraka za kichungaji kupinga mauaji mara nyingi kama kwa SamiaShida wewe mwenyewe ni mdini na ndio maana unaishia kufikiri kwamba wenye kumkosoa na kumpinga Samia hakuna ambao ni waislamu kwamba wote ni wasio waislamu.
Mimi nadhani ingeleta maana huyo muislamu unayemtetea na kudhani anapingwa kwa sababu ya dini yake basi angekuwa kiongozi muadilifu na mtenda haki, lakini huku kumtetea mtu kisa tu ni muislamu yani hilo tu ndio bila kujali ni muislamu msafi au muislamu ni ujinga ambao waislamu ifike mahali tuachane nao.
Tuhuma za udini kwenye teuzi zilikuwepo toka kwa Kikwete zikaja hadi Magufuli pia hivyo sioni kipya tuhuma zikawepo pia kwa Samia.
Magufuli alipingwa sana tu hadi na makanisa na wapo ambao inajulikana waliogopa kumkosoa kwa uoga ila leo hii unasema hawakumsoa kisa et alikuwa mkristo hii ajabu kabisa.
Wapuuzi hawa wanashindwa kumpa facts wamejificha kwenye kichaka cha udiniSidhani kama kuna rais hapa Tz ambaye katika utawala wake hakukuwa na tuhuma za udini ila pamoja hayo hilo halijawahi kuwa ndio hoja ya msingi watu kumkosoa au kumpinga huyo rais, ila leo hii Samia kupingwa hoja ya udini ndio inafanywa sababu kuu kana kwamba huyo Samia ni muislamu saaana au sijui kawafanyia nini kikubwa hao waislamu hapa Tz kuzidi imani zengine.
Mimi nilitegemea wangekuwa wakimsifu Samia na uislamu wake kwa sifa za kiongozi mtenda haki na muadilifu ila wapi.
Kuna vitu ni vya kijinga sana, yani wanamtetea Samia kwa ufahali kwamba ni muislamu tu bila kujali ni muislamu wa aina gani.
Sasa kama kiongozi ambaye ndani ya uongozi wake kunafanyika mauwaji tena yenye kuhusishwa nayo bado utatafuta uadilifu na utendaji wa haki kwa huyo kiongozi? Ndio maana nikasema hata nyinyi mnaomtetea hatuoni mkimsifu muislamu huyo kwa sifa za kiongozi mtenda haki na uadilifu bali mnamtetea kisa tu ni muislamu. Kuna waislamu hadi mashoga na magaidi huko sasa kwa nini waislamu wamtete Samia kisa muislamu tu?Nimeomba nyaraka za kichungaji kupinga kubadili mkandarasi wa reli toka exim bank china wa bei rahisi hadi mturuki wa bei ghali,nimeomba nyaraka za kichungaji kupinga mauaji mara nyingi kama kwa Samia
Naomba unioneshe ukosaji wa uadilifu wa Samia
Mauaji na utekaji yalianza kabla ya maandamano, na ndio kitu watu walikuwa wanadai yaishe maana hakuna hata siku moja yalichunguzwa, naona unataka kufanya wananchi watumwa na mafala ndani ya nchi yao wasiwe na haki ya kuongea au kuandamana, na kwanini unaua maelfu ya watu kwa ajiri wameandamana na walikuwa hawana silaha na wengine wameuliwa ndani kwao na wengine wamechukuliwa mahospitalini wakaenda kuuliwa, bro acha kufanya watu wajinga, kama una support huyo shetani endelea tuu Ila acha kulaumu victimsndo maana kabla ya haya yote mliambiwa jamani pakichafuka apa wote lazima kitukute, mlichagua njia ya fujo na mlichokutana nacho ndo madhara
Mauaji alimuua nani hadi mkapanga maandamano?..azory gwanda,saanane wako wapi?..tundu alipigwa risasi 16,mliandamana?Sasa kama kiongozi ambaye ndani ya uongozi wake kunafanyika mauwaji tena yenye kuhusishwa nayo bado utatafuta uadilifu na utendaji wa haki kwa huyo kiongozi? Ndio maana nikasema hata nyinyi mnaomtetea hatuoni mkimsifu muislamu huyo kwa sifa za kiongozi mtenda haki na uadilifu bali mnamtetea kisa tu ni muislamu. Kuna waislamu hadi mashoga na magaidi huko sasa kwa nini waislamu wamtete Samia kisa muislamu tu?
Mambo ya mauwaji na utekaji yalikuwepo pia kipindi cha Magu na watu wakamkosoa sana tu, kaja Samia hayo mambo ndio yanazidi halafu watu wakimpinga kiongozi mnaleta hoja ya udini.
Tuseme kwamba hayo yote uliyoyataja ambayo yalitokea kipindi cha Magu watu hawakuandamana kwa sababu rais alikuwa mkristo, sasa wewe kama muislamu kipi kinakufanya umtetee muislamu(rais samia) ambaye nae katika utawala wake pia kuna utekaji na mauwaji kama yaliyofanyika kwa rais mkristo?Mauaji alimuua nani hadi mkapanga maandamano?..azory gwanda,saanane wako wapi?..tundu alipigwa risasi 16,mliandamana?
For every action there is a reaction, ukichagua mbai basi kubaliana na matokeo, mmechoma miundo mbinu serikali imekubaliana na hali basi na nyie mlibebe kama mlivotaka liweMauaji na utekaji yalianza kabla ya maandamano, na ndio kitu watu walikuwa wanadai yaishe maana hakuna hata siku moja yalichunguzwa, naona unataka kufanya wananchi watumwa na mafala ndani ya nchi yao wasiwe na haki ya kuongea au kuandamana, na kwanini unaua maelfu ya watu kwa ajiri wameandamana na walikuwa hawana silaha na wengine wameuliwa ndani kwao na wengine wamechukuliwa mahospitalini wakaenda kuuliwa, bro acha kufanya watu wajinga, kama una support huyo shetani endelea tuu Ila acha kulaumu victims
Inaonekana umeishi gizani maisha yako yote, nani anaua maelfu ya watu kwa sababu wamechoma vituo vya daladala? na maelfu ya waliouliwa ambao hawakuhusika na hizo garbage accusations zako nao ilikuwaje? tetea shetani siku litakugeuka na ukoo wako labda akili itarudi, pole sana you mazafakaFor every action there is a reaction, ukichagua mbai basi kubaliana na matokeo, mmechoma miundo mbinu serikali imekubaliana na hali basi na nyie mlibebe kama mlivotaka liwe
punguza mdomo, fanya vitendoInaonekana umeishi gizani maisha yako yote, nani anaua maelfu ya watu kwa sababu wamechoma vituo vya daladala? na maelfu ya waliouliwa ambao hawakuhusika na hizo garbage accusations zako nao ilikuwaje? tetea shetani siku litakugeuka na ukoo wako labda akili itarudi, pole sana you mazafaka
Ni suala la muda tu hata wewe haya majanga yatabisha hodi nyumbani kwako, km siyo wewe mwenyewe basi ndugu yako. Yule Mwaipopo na Sharif majini hakuna aliyedhani kuna mmoja wapo angekutana na chuma na kupoteza MAISHA.Mliambiwa mapema hayo mambo ya kuandamana achaneni nayo, mkaona mnaogopwa sana, mkaamua kuandamana na kufanya uhalifu. Mtoto akililia wembe mpe.