gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Una shida ya kuelewa mantiki?..nilisema kinachowasumbua kwa Samia udini,nikakwambia upinzani dhidi ya Samia ulianza baada ya suala la bandari kwa mwarabuKwahiyo wewe kama muislamu unamtetea Samia kwa sababu aliwapa Bandari waarabu wawekeze na hilo linakufanya uone waliyopinga hilo jambo sio waislamu kwa maana muislamu hawezi kupinga muarabu kupewa bandari awekeze?
Hivi waislamu wanafaidika nini na hao waarabu kupewa hiyo bandari? maana hapo ndipo tulipoanza kuona masheikh wakimtetea Samia.
Sijui kwa nini mnafikiri kwa ufinyu hivi, huyo mtangulizi wake ambaye ni Magufuli mwanzo wa uongozi wake pia hakuanza kwa kupingwa tu ila kadri muda ulivyozidi kwenda ndipo wakatokea waliyokuwa wakimpinga kutokana na aina ya uongozi wake ambao pia mwanzoni walikuwa wakimshabikia.
Na ndio hayo hayo yametokea kwa Samia ila cha ajabu kwa Samia inaonekana et kisa ni muislamu.
Kabla hajachukua mwarabu bandari hivyohivyo ilikua chini ya muwekezaji ticts kwa miaka 25 na TEC hawakutoa tamko
Nyuma kidogo warioba alidai teuzi Zina harufu ya udini na Kawa staunch criticizer utawala wa Samia,hakuwa hivyo kwa magufuli
Kuna askofu alidai rais anavaa ushungi kama muuza vitumbua
Huwezi sema upinzani haujengwi na dini