GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wee makende ndio sababu mauaji na utekaji yanatokea, una support upuuzi ambao hautakuacha salama wewe na familia yako, ujinga mzigo ***** zako
Wenzako wamefikishwa mahakamani leo wewe uko uvunguni mwa kitanda cha mume wa dada yako. Kaa huko huko mkuu huku moto unawaka.
 
Mamia walikufa na maelfu kuwa wakimbizi nchini Kenya.
Style ilikuwa zaidi ya hii, hadi helicopter zilihusika.
You can imagine?
Ulishawahi kuona movie za kivita za Vietnam na Cambodia?
Kwa hiyo kumbe huyu shetani jike wa kizanzibar yupo hapa Ikulu ya Tanganyika sio kuongoza nchi, bali yupo kwa ajili ya kulipiza visasi vya matukio mliyofanyiwa huko nyuma sio? Na una bariki kabisa mauaji ya kimbari waliofanyiwa Watanganyika sio?

Sasa kama ni hivi basi watanganyika wana haki ya kumchukia sana huyo mama ako shetani samia, maana hayupo Ikulu kwa njia bali yupo kwa ajili ya kukamilisha mission ya kishetani kuua watanganyika hili kuwafurahisheni nyie wazanzibar.
 
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.

"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe

Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi walikua wanapita kila nyumba kuvunja milango kutafuta vijana wa kiume tuh. Yani kila nyumba wanavunja Milango wanawatoa wanaume kama unabahati unapigika na wanaondoka na wewe kwenda kituoni, vijana wengi wamefia kituo cha polisi, wenye bahati mbaya zaidi walikuwa wanapigwa risasi hapo hapo kwenye majumba yao. Askari wenye kiswahili cha bongo walikuwa wanapiga na kubeba vijana lakini wenye kuongea kama Kizanzibari walikuwa wanaua hapo hapo tena wanahakikisha ni risasi ya kichwa au kifua."
Yawezekana huyu yalama wa Kizimkazi ndiye mtu muovu zaidi kupata kutokea kwenye nchi yetu. May the wrath of God be upon her and her agents and sycophants!
 
Mkuu, hivi ndivyo ilivyo kwa watanganyika walio wengi. Hii vita sio ya uchaguzi wala Chadema wala CCM. Hii ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu.
Kwakuwa Rais Samia ni muislamu na mzanzibari.
Period.
Wala uislam jamani...uislam gani huu wa kibr na dharau
Kaah...mmeshikilia kwenye dini tu hapo hapo
Hivi uislam unaruhusu dhulma?wizi?uuaji?
Yeye kama kweli muislam kwanini asiongoze kwa Haki ,busara na hekima?
Kama weye ni muislam nikuulize?Muhammad s a w alikua tajiri?
Hakukosolewa na Mungu?
Sasa huyu wenu,kwanini hataki kukosolewa?kwanini hatendi haki?
Wala sio uislam tena msiingize udini kwenye hili.
Uislam hauruhusu mauaji huyo bibi yenu ,ana kibri cha uzima kama kiongozi na ana dhima kubwa kwa Mungu.
Acheni kutetea upuuzi kama nyie kweli waislam jueni huu mnaotetea ni dhulma ,upuuzi na mtakua mas u l siku ya mwisho
Kama kweli mnampenda mkosoeni au kaeni kimya.
Eti uislam?kwa uislam gani alonao yule mpk watu wamchukie..Shungi aliloanza kuvaa juzi ili awe mbunge huko Zanzibar?
Acheni unaafiki
Uislam ni amani,uislam ni usafi.
 
Usiende na mihemko, jitahidi ushirikishe ubongo wako. Kuna mmoja kajiingiza kwenye mkumbo. Sasa hivi Mama yake analia anmuombea msamaha mwanae kwakuwa ndiyo wanamtegemea. Unaweza kutukana wakakuacha. Ila ikifikia kuhatarisha amani ya nchi ni suala la muda utalipia kwahilo.
Sasa niffer kafanya kosa gani? Issue ilikua easy CCM ingekubali reforms...

Siungi mkono violence ila kilicho fanyika ni crimes against humanity huwezi mimina ma risasi kama HAYAWANI kuua Kila mtu mbele Yako tena watu wasio na hatia.
 
Hali inatisha Sana ! Nchi imejaa laana na kunuka damu za wasiokuwa na hatia, katika hili siamini kuwa kila mamlaka imetoka Kwa MUNGU, na kama MUNGU kweli ameyaruhusu haya basi Imani yangu inaanza kuporomoka...
Same here even i ask my self y does this sh*t happen? It seems like everything turn upside down,I don't know Is this a god plan or what,?
Im losing hope so fast, just a three day cost more than 3k lives. This sh*t hurt me deep
 
A big non recoverable trauma
 
Sema tu kwamba una chuki na uislamu usibingirishe maneno.
Mkuu Samia sio kiongozi wa uislamu na wala sidhani kama ana msaada wowote kwenye uislamu hapa Tanzania, mnanunua vita ambayo haiwahusu. Tuseme watu wanamchukia Samia kisa muislamu, hebu tujiulize huyo Samia kaufanyia nini uislamu hapa Tanzania hadi masheikh wamtetee huyo Samia?
 
Mkuu, hivi ndivyo ilivyo kwa watanganyika walio wengi. Hii vita sio ya uchaguzi wala Chadema wala CCM. Hii ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu.
Kwakuwa Rais Samia ni muislamu na mzanzibari.
Period.
Acheni spinning za kizembe! Hili sio suala la udini by any measure. Anachofanya huyo Ibilisi hakikubaliki hata kama kingefanywa na mkristo au mtu mwingine yeyote ambaye sio muislamu.

Hata marais wakristo (especially JPM) wamewahi kukosolewa vikali na wakristo wenzao, akiwemo TAL ambaye ni mkatholiki kama walivyokuwa JKN, BWM na JPM.
 
SAMIA KAUA FAMILIA YANGU -- NAINGIA MSITUNI KUMTOA MADARAKANI. AMINI USIAMINI LAZIMA HAKI ITENDEKE NA YEYE ALIE MACHOZI TULIOLIA SISI. MUNGU NI MKUBWA NA ATATENDA HAKI NA ATATUWEZESHA
Nilisema kuna uwezekano wa Nchi kuzalisha Waasi na Magaidi na hili sasa. Muasi au Gaidi ni HATARI kuliko Muhalifu wa kawaida ndani ya nchi. Pole sana Mkuu
 
We ulifikiri sababu ni nini?..hizi chokochoko zimejijenga taratibu zikihanikizwa na matamko ya TEC
Mara Tec mara Mangekimambi, huyu Samia alipoingia madarakani mwanzoni watu wengi walikuwa na matumaini nae akiwemo na huyo Mange,hakukuwa na issue ya uislamu wala uzanzibari.

Alikuwa anapingwa Magufuli na makanisa yalikuwa yanatoa matamko kukosoa utawala wa Magufuli na yakapangwa hadi maandamano na huyo Mange alikuwa kinara kuchochea hayo maandamano ila ajabu kwa Samia inaonekana kisa et uislamu wake.

Sasa huyo Samia ana uislamu gani au Huo wa kuvaa shungi? Mnatutia aibu tu waislamu mnateta upuuzi na hoja za kipuuza. Samia sio kiongozi wa uislamu na wala hana manufaa yeyote kwa waislamu wa Tanzania.
 
Wala uislam jamani...uislam gani huu wa kibr na dharau
Kaah...mmeshikilia kwenye dini tu hapo hapo
Hivi uislam unaruhusu dhulma?wizi?uuaji?
Yeye kama kweli muislam kwanini asiongoze kwa Haki ,busara na hekima?
Kama weye ni muislam nikuulize?Muhammad s a w alikua tajiri?
Hakukosolewa na Mungu?
Sasa huyu wenu,kwanini hataki kukosolewa?kwanini hatendi haki?
Wala sio uislam tena msiingize udini kwenye hili.
Uislam hauruhusu mauaji huyo bibi yenu ,ana kibri cha uzima kama kiongozi na ana dhima kubwa kwa Mungu.
Acheni kutetea upuuzi kama nyie kweli waislam jueni huu mnaotetea ni dhulma ,upuuzi na mtakua mas u l siku ya mwisho
Kama kweli mnampenda mkosoeni au kaeni kimya.
Eti uislam?kwa uislam gani alonao yule mpk watu wamchukie..Shungi aliloanza kuvaa juzi ili awe mbunge huko Zanzibar?
Acheni unaafiki
Uislam ni amani,uislam ni usafi.
Ndio nashangaa Samia ana uislamu gani wa kufanya watu wamchukie? Hakuna chochote kwanza anachofanya chenye manufaa kwa waislamu sasa nashangaa hawa waislamu wenye kumtetea yani kisa ana jina la kiarabu na kuvaa ushungi.
 
Back
Top Bottom