The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Duh..hii ni hatari sana IGP achana na huu ujinga unazidi kumuharibia rais na hizi clips zinawez kutumika kama ushahidi huko nje..tumieni akili kidogo basi.Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi walikua wanapita kila nyumba kuvunja milango kutafuta vijana wa kiume tuh. Yani kila nyumba wanavunja Milango wanawatoa wanaume kama unabahati unapigika na wanaondoka na wewe kwenda kituoni, vijana wengi wamefia kituo cha polisi, wenye bahati mbaya zaidi walikuwa wanapigwa risasi hapo hapo kwenye majumba yao. Askari wenye kiswahili cha bongo walikuwa wanapiga na kubeba vijana lakini wenye kuongea kama Kizanzibari walikuwa wanaua hapo hapo tena wanahakikisha ni risasi ya kichwa au kifua."
Kwa nini unawapa ushauri?Duh..hii ni hatari sana IGP achana na huu ujinga unazidi kumuharibia rais na hizi clips zinawez kutumika kama ushahidi huko nje..tumieni akili kidogo basi.
Ni kama vile waliwaambia laleni chini kisha wakawatwanga risasi.
Kama wewe ni mzanzibar hongera lakini kama wewe ni mtu wa bara pole sana maana yake unatumika bila kujijuaKwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Huu mtaa ninaoishi ni kitovu cha biashara, na hakuna hata mmoja aliyeibiwa. Walioibiwa ni wachache Ila waliokufa ni wengi.Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Wee **** zamu yako itafika ni swala la muda tuuKwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Ukinyimwa akili LAZIMA uwe aibu Kwa jamii kama weweKwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.