GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie waislam ni Magaidi ndio maana unafurahia watu kuuliwa kwenu ni thawabu
 
Samia na police ndio adui number moja wa watanzania wala tusitafute mchawi mwingine, ulinzi wa mitaa yetu tutarudi na jeshi la sungusungu kuliko hawa wauaji
Usiende na mihemko, jitahidi ushirikishe ubongo wako. Kuna mmoja kajiingiza kwenye mkumbo. Sasa hivi Mama yake analia anamuombea msamaha mwanae kwakuwa ndiyo wanamtegemea. Unaweza kutukana wakakuacha. Ila ikifikia kuhatarisha amani ya nchi ni suala la muda utalipia kwahilo.
 
Hali inatisha Sana ! Nchi imejaa laana na kunuka damu za wasiokuwa na hatia, katika hili siamini kuwa kila mamlaka imetoka Kwa MUNGU, na kama MUNGU kweli ameyaruhusu haya basi Imani yangu inaanza kuporomoka...
 
Kuhatarisha amani kivipi? mbona kuna mafisadi yaliiba hela za Covid 19 huoni walihatarisha amani ya nchi ila bado wameachiwa? Wale waliokula fedha za polisi huoni walichezea amani ila mbona hamkuwagusa.
IPTL watu wanachezea nishati huoni walihatarisha amani ya nchi?. Walichukuliwa hatua gani?
 
Mihemko? Hayo mauaji yanayoendelea unayaona au umeamua kujitoa akili kwa sababu una support shetani Samia na genge lake, wapuuzi mko wengi lakini tutafika tuu
 
Wewe ni mpumbavu
 
Duh..hii ni hatari sana IGP achana na huu ujinga unazidi kumuharibia rais na hizi clips zinawez kutumika kama ushahidi huko nje..tumieni akili kidogo basi.

Hivi mnapodai wanamharibia Rais mna maana gani? Mnajuaje kama order haitoki huko juu ... Yeye mwnywewe yupo kimya na wala hajatoa pole kwa wafiwa wala kuomba radhi zaidi ya kuwaita wahalifu.
 
Hali inatisha Sana ! Nchi imejaa laana na kunuka damu za wasiokuwa na hatia, katika hili siamini kuwa kila mamlaka imetoka Kwa MUNGU, na kama MUNGU kweli ameyaruhusu haya basi Imani yangu inaanza kuporomoka...

Na ajabu hao hao wauaji wanashika vitabu vya dini na kuapa+kuomba Mungu awasaidie na awalinde! wtf?

Bila shaka wanaomba kwa shetanimsenge ila sio Mungu halisi.
 
Yalifanyika ni mauaji ya kimbari (genocide).

Moyo wake hauna furaha, ni uzuni muda wote na dhambi ya mauaji amejibebea pamoja na walioko chini yake.
Mkuu kilichofanyika kinatisha. Japo ni technicality tu za kisheria, kilichofanyika hakifit kwenye definition ya genocide,

Kilichotokea ni MASSACRE (Mauaji ya halaiki)......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…