Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Safi kabisa Frank.Hii mbona ain't even a quarter of what they demonstrated huku kwetu, ndio chanzo cha frank (jwtz dropout kukubali kufa ili atungue wale askari walio kuwa waki shambulia pale barabarani)
Kiranga na Mayor Quimby
wajinga kama wewe ndio maana waafrica wamebaki kuwa maskini na mafala hii duniaMliambiwa mapema hayo mambo ya kuandamana achaneni nayo, mkaona mnaogopwa sana, mkaamua kuandamana na kufanya uhalifu. Mtoto akililia wembe mpe.
Sawa unaweza kusema hivyo lakini jiulize kwanini miaka yote watanzania walikuwa hawaandamani kwanini imekuwa kipindi hiki?Mliambiwa mapema hayo mambo ya kuandamana achaneni nayo, mkaona mnaogopwa sana, mkaamua kuandamana na kufanya uhalifu. Mtoto akililia wembe mpe.
Sharif Majini alikua ChawaZaidi yako na alipiga kabisa na dua ya watu waoomba Haki wafe ila mwisho wa Siku kalambwa shaba mbele ya mke wakeKwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Moja ya kauli inayonikera ni hiyo ya mtu kumtetea kwa kusema kuna watu wanamuharibia utadhani yeye mtoto mdogo au ameonyesha kupingana na kile kinachofanyika. Shenzi kabisa.Hivi mnapodai wanamharibia Rais mna maana gani? Mnajuaje kama order haitoki huko juu ... Yeye mwnywewe yupo kimya na wala hajatoa pole kwa wafiwa wala kuomba radhi zaidi ya kuwaita wahalifu.
Hivi huo mwaka walikufa wazanzibari wangapi? Na style ilikua hii hii ya mtaa kwa mtaa?Hicho ni kisasi cha 2001 mauaji ya pemba hayo na bado
Uadui unaotengenezwa...utawagharimu wao zaidi!Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Is He dead?Sharif Majini alikua ChawaZaidi yako na alipiga kabisa na dua ya watu waoomba Haki wafe ila mwisho wa Siku kalambwa shaba mbele ya mke wake
Mkiwaambia ukweli utawasaidia, mkiendelea kuwaongopea mtawaangamiza, yale hayakuwa maandamano ya amani. Ule ulikuwa ni uhalifu uliyojificha kwenye maandamano ya amani.Sawa unaweza kusema hivyo lakini jiulize kwanini miaka yote watanzania walikuwa hawaandamani kwanini imekuwa kipindi hiki?
Hii ilikuwaje asee? Frank alikuwa na silaha?Hii mbona ain't even a quarter of what they demonstrated huku kwetu, ndio chanzo cha frank (jwtz dropout kukubali kufa ili atungue wale askari walio kuwa waki shambulia pale barabarani)
Kiranga na Mayor Quimby
Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
aitolee wapi, ila we just did the unsual tu.Hii ilikuwaje asee? Frank alikuwa na silaha?
Yeah.Is He dead?
Utawafanyaje?Subiri uone kuhusu wazenji wanao ishi bara very soon
Una ushahidi wowote kwamba ni police wa Zanzibar?Hii video nimemtumia yule mwamba wa CNN ili aijumuishe kwenye ripoti yake dunia ijue polisi wa zanzibar walichowafanyia watanganyika.
Siyo mimi ni nguvu ya umma ...nawasikitikia sana wazanzibar waliopo bara na baadhi ya wana ccm mitaani na mali zao maana sasa hivi petrol linanunuliwa mapema sana hivyo mioto itawaka sanaUtawafanyaje?
Inavyoonesha hii ni vita ya kidini.una mali gani we ***** zaidi ya kumiliki mkyundu ulioaribiwa ukiwa madrasa