Kwa mtu yeyote kushinda Urais kwa udanganyifu au wizi ni uhaini, na ndio maana wanaogopa tume na matokeo kuchunguzwa na waliweka vifungu hivyo wakati wananchi wengi wakiwa wajinga na wengine njaa kali.Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
Hiyo hiyo Katiba na hiyo sehemu ya Tume ya Uchaguzi ndiyo ilimpa Zitto miaka kumi Bungeni na ikampa Membe miaka 30 Bungeni na wengine wengi ikwapa Ubunge hata wengine wakawa na magari yenye plate number za KUB! Hivyo hiyo si hoja yao bali ni HOJA YA KUPATIA RUZUKU kutoka kwa mataifa majinga majinga ya nje. Hii ni miradi ya kijamii isyokwisha. Kama huamini, ngoja washindwe kwenye Uchaguzi huu Mkuu, wataibua hoja za kutafutia ruzuku nyingi tu, ikiwa na pamoja na kufungua kesi za uchaguzi huko Mahakamani. Utaniambia wewe tusubiri tu!Tatizo ni katiba mbovu hasa sehemu ya tume ya uchaguzi.
Hapa wafanyakazi walikuwa na nyongeza kila mwaka. Watu walikuwa hawafungwi hovyo wala kutukanwa. Watumishi walikuwa hawajadhurumiwa kikatili bila kusikilizwa.Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Mlimwibia ushindi Slaa mkaja kumzawadia ubalozi, hivi mfano ndio angeshawishi nyomi kama iyo kuingia barabarani Polisi wangeweza pambana nao. Watu wanatumia busara muda mwingine halafu mnawaona mataahira. Lissu hawezi ruhusu huo ujinga..Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
kuishi kwa kukaririMwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Lolote linaweza kutokea, bunduki haina macho hao mnao wategemea kuwa wataendelea kuilinda ccm tumechoka, maana hata tukitoka kazini mtaani tunaonekana kama machoko tu. Tunakosa marafiki kisa ccm hata sehemu ya kukopa pesa tuanashindwa sababu ccm. This time BIG NO.Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.
Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Hizo ni hoja zako wewe binafsi, sisi wafanyakazi, hizo siyo hoja zetu. Madaraja kazini tunapandishwa kwa hiyo na mishahara tunapata. Ingawa hii mishahara yetu, KAMA ILIVYO MISHAHARA YA WAAJIRIWA WOTE DUNIANI, haiwezi kututoa kwenye shida na taabu zetu kwani haikidhi mahitaji yetu, na hii ni FACT ALL OVER THE WORLD. Mshahara has never ended somebody's destitute! Umeshawahi kusikia hata hao mnao walinganisha na kuwaona kama wana mishahara mizuri, wakiwa kimya kudai nyongeza za mishahara? Fuatilieni mambo huko BBC, ALJAZEERA, RFI na kwingine muone mambo kisha ndio mlete hoja kama hizi. People should encourage one another to indulge in extra income earning entrepreneurial activities badala ya kuambiana haya ya mishahara na kupanda madaraja guys!Hapa wafanyakazi walikuwa na nyongeza kila mwaka. Watu walikuwa hawafungwi hovyo wala kutukanwa. Watumishi walikuwa hawajadhurumiwa kikatili bila kusikilizwa.
Hayo niliyotaja yataamua uchaguzi huu.
Unaweza kuunda tume this August kwa uchaguzi wa octoba?Inafurhisha sana!
Naona sasa hivi hata tume huru mmeitupa kapuni
Wewe ndiyo aendelee kuota. Mkimtangaza Magu tutawatoa Ikulu kama alivyo tolewa Laurent Bagbo wa Ivory Coast mwaka 2012 alipong'ang'ania madaraka.Emdelea kuota
Pesa inakata vipi wakati wanachama hawajaanza kuchangia.Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.
Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Huyo somo limeanza kumkolea.Usisahau kampeni zenyewe bado, hao wananchi wamejipanga tu barabarani ili wamuone kiongozi wao.Aibu yenu na mchutame tu wajinga nyie!!Eti upinzani umekufa!
Hiyo ndiyo CHADEMA na inazidi kupendwa na itapendwa siku zote bila ya kuwepo Slaa, Lissu, Mbowe, n.k. "CHADEMA has a sustainable growth rate".Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Nikushukuru kwa kuelewa uzito wa hoja ya mshahara katika kampeni hizi na kuiandalia majawabu ya kuchekesha kiasi hiki.Hizo ni hoja zako wewe binafsi, sisi wafanyakazi, hizo siyo hoja zetu. Madaraja kazini tunapandishwa kwa hiyo na mishahara tunapata. Ingawa hii mishahara yetu, KAMA ILIVYO MISHAHARA YA WAAJIRIWA WOTE DUNIANI, haiwezi kututoa kwenye shida na taabu zetu kwani haikidhi mahitaji yetu, na hii ni FACT ALL OVER THE WORLD. Mshahara has never ended somebody's destitute! Umeshawahi kusikia hata hao mnao walinganisha na kuwaona kama wana mishahara mizuri, wakiwa kimya kudai nyongeza za mishahara? Fuatilieni mambo huko BBC, ALJAZEERA, RFI na kwingine muone mambo kisha ndio mlete hoja kama hizi. People should encourage one another to indulge in extra income earning entrepreneurial activities badala ya kuambiana haya ya mishahara na kupanda madaraja guys!
Mbona bado mapema sana,kampeni zikianza mjise anza kulalamika watu wangu wa CDM,mziki wa Magu sio wa kitoto,tutakuja kufananisha huku siku moja
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Mwaka huu tunalinda jura zetu, mwizi atahukumiwa pale pale.Ndio mjue siku zote huwa mnashinda kwa wizi/ hila na si vinginevyo.
Usihangaike na wasiojielewa, hususan huyu kupewa kazi ya kutetea yasiyo na utetezi jinsi yalivyo mbona ni bayana.Nikushukuru kwa kuelewa uzito wa hoja ya mshahara katika kampeni hizi na kuiandalia majawabu ya kuchekesha kiasi hiki.
Mtaafu wa 2020 kupata sawa na aliyestaafu 2015 huku gharama ya bidhaa zikipanda mara mbili au zaidi wewe unaona sawa.