Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Wakati huo huo Askofu Gwajima yeye kaenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge
 
Haya mambo ya imani ni magumu sana . Imagining watu wanaumizwa kWa kupigania kumuabudu Mungu 💔😭😭💔💔💔💔hapa busara inahitajika sanaa. Nimeangalia hawa waumini ni kama wako tayari kWa lolote huwezi msukuma askari mwenye silaha ya moto Kama haupo Tayari kWa lolote. Na kama wamefika point hiyo ni busara tu itumike, tusipoteze roho zisizo na hatia
 
Jamaa wakicheza hapo atapoteza hata lita 1 ya damu...
 
Halafu Askofu wao kawahi kuchukua Fomu za Ubunge, wafuasi wanauawa
 
Watu tuko zaidi ya milioni sitini halafu polisi hawazidi hata laki Tano.Tukiamua kukinukisha hakuna wa kutuzuia Hadi tunaenda ikulu Kwa anayewatuma ili tukamfukuze ahame nchi
 
Wenyewe wanasema zamu yao kulipiza.
Kuna mmoja nimemsikia anasema kwa furaha kuwa na wao walipigwa na kuumizwa/kuuawa Mwembechai kwa hiyo ni sawa tu hawa Wakristu wakipigwa.
 
Gwajima Mwenyewe Wanae Mpambania Kaenda Zake Kuchukua Fomu,,Akiwa Ndani Hammer Akisindikizwa Na Range Rover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…