Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Ni jambo la kushangaza sana.Sasa serikali inakomalia nini kwenye kanisa hilo, si wawaachie tu waumini hao wafanye ibada yao? Wanayemtafuta hayupo hapo, sasa ya nini kuzuia wananchi wasiabudu Mungu wao?
Warumi 13
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Sasa serikali inakomalia nini kwenye kanisa hilo, si wawaachie tu waumini hao wafanye ibada yao? Wanayemtafuta hayupo hapo, sasa ya nini kuzuia wananchi wasiabudu Mungu wao?
Andika tu!Nimefuta
Ila Mungu naye tusipende majukumu ambayo siyo yake. Amekupa mikono, miguu, akili na vyote unavyohitaji kwa nini tumwachie Mungu?Wakuu,
Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku
Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"
Ni hayo tu wakuu!
Endeleeni kushindana na Dola..
Gwaji kasurrender.. nyie endeleeni.
Hakuna tusi jipya, nasubiri
Duh!!!Iliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
🤔 😳👀Ukiangalia ni kama vile upande wa watoto wa mama mdogo kama wanalipiza kisasi kimya kimya kwa yale yalotokea enzi za magomeni mwembechai na kule msikiti wa mtoro pale mitaa ya Livingstone na yale ya mwembeyanga kule temeke
Halafu nani ambaye atakuwa amekufa sasa?Iliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
Lazima apigwe ili fahamu zimrudieWakuu,
Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku
Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"
Ni hayo tu wakuu!
Sasa serikali inakomalia nini kwenye kanisa hilo, si wawaachie tu waumini hao wafanye ibada yao? Wanayemtafuta hayupo hapo, sasa ya nini kuzuia wananchi wasiabudu Mungu wao?
Lazima apigwe ili fahamu zimrudie