Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Hii DAMU italipwa hakuna hesabu itakayopotea Mbele za MUNGU... Ndo mnataka tupige Kura kwa staili hii?? Tuwaambie watu wakapige Kura hapana kwa kweli Kuna wengine sisi sio wanasiasa kabisa ila kwa haya TUNAONA kabisa... JITOKEZENI MSEME HADHARANI SHIDA NI NINI IBADA AU NI NINI ACHENI KUUMIZA WATU WASIO NA HATIA MTALIPIA NYIE NA FAMILIA ZENU ASKARI TUNAWALILIA NA FAMILIA ZENU MBELE ZA MUNGU ACHENI KUPIGA WATU WANAOENDA KUMUABUDU MUNGU WAO
 
Kaa mbali na vile virungu ni mpingo kutoka Mtwara vinalia kama chuma vikitua mahala pagumu kama vile kwenye ugoko, kipepsi, kichogoni, meno, nk
Ninajua ladha yake pale Mwembechai
 
Daah aisee huko tunapoelekea ni kubaya zaidi, Tumuombe Mungu aingile kati kwa kweli
 
Dikiteta mkoloni kaburu mama iddy Amin anaitawala Tanganyika kimabavu kama ilivyokuwa kipindi cha makaburu wa Africa kusini , watanganyika wanateswa wananyanyasika Nchini mwao na vibaraka Polisiccm wanashiriki kuwapiga kuwabambikia kesi na uonevu wa kila Aina, bora muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Kaa mbali na vile virungu ni mpingo kutoka Mtwara vinalia kama chuma vikitua mahala pagumu kama vile kwenye ugoko, kipepsi, kichogoni, meno, nk
Ninajua ladha yake pale Mwembechai
Mkoloni kaburu Dikiteta toka Zanzibar anawatesa watanganyika, muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Sasa serikali inakomalia nini kwenye kanisa hilo, si wawaachie tu waumini hao wafanye ibada yao? Wanayemtafuta hayupo hapo, sasa ya nini kuzuia wananchi wasiabudu Mungu wao?
Muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Chakushangaza ni kwamba mahakama inasema haitambui amri ya kufungwa kwa kanisa hilo, waziri wa mambo ya ndani nae anasema kanisa halijafungwa lakini chombo cha polisi kinadai kinatimiza maelekezo kutoka juu.

Wanachokipanda ipo siku kitawavua nguo.
 
Hii nchi yetu ina hali ngumu kiukweli.

Sasa mtu akienda zake tu ibada kulingana na anavyoamini, kwani shida iko wapi?

Kuna ugumu wa wao kushughulika na Gwajima tu bila kuumiza muumini namna hii?
 
Wapigwe tu. Stahiki yake.
 
Wenyewe wanasema zamu yao kulipiza.
Kuna mmoja nimemsikia anasema kwa furaha kuwa na wao walipigwa na kuumizwa/kuuawa Mwembechai kwa hiyo ni sawa tu hawa Wakristu wakipigwa.
Acha hizo mkuu.
Wapigwe mpaka akili zikae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…