MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mbona wewe umekaidi na kuingia jf wakati serikali yako ilifungia?Ukiwa mkaidi utapigwa tu hakuna namna.
Huyo raia kulikua na haja gani ya kumpiga ivyo kwanini wasinge tumia PGO..Ukiwa mkaidi utapigwa tu hakuna namna.
Mwambie mwambie..Mbona wewe umekaidi na kuingia jf wakati serikali yako ilifungia?
Sio Siri ni Unyama usio vumilika.MODS ONESHENI ISHARA MJIFANYE HUU UZI HAMUUONI KUNA VIKURUTA TUVIONDOLEE STRESS
SIkumbuki vyema...Kabisa hata mimi nilishangaa.
Hivi Hamza alipita na polisi wangapi kwenye hilo tukio?
Hio akili ya kung'amua haya uliyosema sijui kama hao polisi wanayo.Inasikitisha Kwa kweli
Mahakamani ni sehemu ya haki
Kwa nini wasitumie busara kuliko kutaka kuua raia mwema ndani ya eneo la mahakama
Mbona polisi wanapigwa mara kwa mara Hadi wanakuja kuokolewa na Raia Wema shida n kwamba unakuta hawajavaa uniform ndo maana tunashindwa kujua kama n polisi au laInatakiwa siku polisi anakula kipondo heavy ili na wao wajifunze
Kwa kosa alilofanya huyo raia la kurusha ngumi kwa polisi ingekua ni polisi wa marekani angekua kashakufa kwa kupigwa risasi, polisi wa Tz wapongezwe kwa kutumia reasonable force , nguvu iliyotumika kumdhibiti ni nguvu ambayo haijavunja sheria.Hivi hawa polisi wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye matumizi ya akili zaidi kwenye karne hii ya 21, badala ya nguvu na ubabe usio na ulazima! Inakuwaje kwenye dunia ya leo bado tuna polisi wa aina hii!
Polisi wametumia reasonable force ukumbi wa mahakama umejaa wakawaambia waondoke huyo raia akawarushia ngumi polisi kwahiyo wakamdhibiti kwa virungu, kwa polisi wa marekani wangemshona risasiExcessive use of force & violence, huo upigaji si sawa.
Kama amevunja sheria si akamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Nje ya mada kidogo:
Watu wakija kuhudhuria kesi, na ikitokea wamekua wengi kuliko nafasi iliyopo ndani ya chumba cha mahakama, hivyo kuombwa kuondoka, lakini wakagoma. Nini inabidi kifanyike?
Mkuu,wewe umeona clip nyingine zaidi ya hii iliyopostiwa hapa? coz maelezo yako yanamaanisha kua,chanzo cha huyo jamaa kupigwa ni alirusha ngumi,Polisi wametumia reasonable force ukumbi wa mahakama umejaa wakawaambia waondoke huyo raia akawarushia ngumi polisi kwahiyo wakamdhibiti kwa virungu, kwa polisi wa marekani wangemshona risasi