GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nishajua kwanini watu wanajitoa muhanga chanzo ni watawala na wananchi mbumbumbu.
 
Watu kama nyinyi mmefungia jf na bado mmo tu na mavpn yenu hamnaga akili ata kidogo undeni platfom zenu.
 
Nishajua kwanini watu wanajitoa muhanga chanzo ni watawala na wananchi mbumbumbu.
Huyu jamaa angekuwa na silaha tungesema mengine inaonekana amechoka na uonevu. Haogopi chochote, yupo tayari kupambana na askari 20.

Kuna yule dada pia aliingia katikati ya kundi la polisi kuwatetea wanaume wawili. Kuna Watanzania wangapi kama hawa waliochoka na uhuni unaoendelea?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inachekesha, namuombea jamaa afya njema huko aliko.
 
Mbona huyo km mlevi wa gongo
tu.
Polisi wako kazini kwao we unaleta ujuaji.
Tena wamemuhurumia saana tu.
 
Mwanawe ni kijana mwenzie siyo mtoto wake.
Lugha ya vijana ya mtaani.
 
Inatakiwa wote kujiuliza hivyo hata baada ya video ya mwanzo kutrend kabla ya kulaumu polisi , tungekuwa na mawazo ya akiba kwamba huenda Kuna sababu au Kuna clip nyingine za chanzo zinapaswa ziwepo ili kufanya analysis.
 
Hata kama alianza. Anaonekana hakuwa na silaha yoyote kwanini wamuadhibu kiasi kile? Wananchi wanahitaji counseling. Tofauti ya wenye nacho na wasio nacho ni kubwa sana.
Polisi hawakufunzwa hivyo, walivyomteremkia wamekwenda kadri ya syllabus. Tii amri bila shurti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…