Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Of course nitabaki CCM kwasababu Chadema HAIWEZI kufikisha zaidi ya Wabunge 15. Kwahiyo, sitahama CCM mkuu.Takataka kama wewe huna hadhi ya kuhamia chadema. Baki huko kwa wachawi wenzako ccm au hamia tadea kwa Shibuda.
Mkuu umenichekesha. Ila kugombea urais siyo mbaya. Tatizo liko kwenye kugombea urais kisakala namna hii! Huku ni kujishusha kupita kiasi. Kweli njaa huwa inakata mishipa yote ya aibu.Kuna muda mtu ndo unang'amua elimu ya darasani sio kitu. Hata mtu unayemdharau mwenye elimu ya O level akawa na upeo mkubwa kuliko professor.
Lipumba wa kugombea Urais kweli?
Uenda jogoo hapandi mutungiLipumba anaoa lini? Je kwemye Fomu za kugombea urais kipengele cha kuwa na familia hakipo?
Kwa picha hii umenifanya nicheke hadi dreva wa mwendokas kashtukaNaikumbuka sana siku anajiandaa kwenda Rwanda kuwa mshauri wa mambo ya uchumi baada ya kuwasaliti ukawa. View attachment 1536054
Mikoa ya Lindi na Mtwara ni ngome ya CufHata Mbunge mmoja hapati.
Unataka akuoe?
Lipumba anaoa lini? Je kwemye Fomu za kugombea urais kipengele cha kuwa na familia hakipo?
Acheni tabia za kishenzi, heshima ni kitu cha bureLabda tasa, ila mkuu kwani kuna kipengele cha katiba ambacho kinawabana matasa kugombea?
Mkuu hapo ilikuwa ni wapi mbona katoa macho kama katoka kuzini na mke wa mtu ?Naikumbuka sana siku anajiandaa kwenda Rwanda kuwa mshauri wa mambo ya uchumi baada ya kuwasaliti ukawa. View attachment 1536054